Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hello JF, Mimi ni kijana wa miaka 31, nina elimu ya chuo kikuu na nimeajiriwa na kampuni moja hapa jijini Dsm. Ni mrefu wa wastani, mnene wa wastani, rangi maji ya kunde na mkristo. Natafuta...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
nipo single natafuta wa kuanzia nae tarehe 14.2.2013 mpaka milele awe mwanaume mkristo kuanzia miaka 38 na kuendelea kama yupo tayari anipm msg zote zitajibiwa
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi wana jamii, Mimi ni kijana niliyejiajiri, elimu yangu chuo kikuu, mkristo, umri wangu miaka 27. Natafuta rafiki wa kike aliye Moshi/Arusha umri 18 - 24, dini yeyote, ila awe mchangamfu. Awe...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Natafuta mchumba mstaarabu na anayaejielewa ambaye baadae baaada ya kufahamiana na kujuana tabia na misimamo tukiridhiana tuoane. Vigezo ni tabia njema, sichagui umri wala kabila wala dini, mimi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nishapata [emoji41][emoji41][emoji125][emoji125]
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nashindwa Kupata Jawabu Kama Mapenzi NI Hisia Za Mtu Binafsi Kwanini Vijana Wakianzisha Mahusiano Na Wanawake wakubwa Inakuwa Gumzo?:rolleyes::mad::mad: Lakini Vibabu Inakuwa Kawaida Tyuu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa Msichana/Mwanamke yeyote alietayari basi aweke Coment yake hapa.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi wakuu, Nimejisikia mzigo moyoni kuwashirikisha wale wote ambao tunatafuta wenzi wetu wa maisha ni vema tukashiriki katika semina ya MWALIMU CHRISTOPHER MWAKASEGE ya KUPANDA NA KUVUNA Tarehe...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau Nahitaji mchumba wa kike aliyetayari kuishi maisha ya ndoa mida mfupi baada ya kujuana (angalau miezi miwili ya kujuana). kikubwa awe na maadili ya kiislamu, umri angalau isizidi miaka 24...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu Wana jf, Natafuta marafiki( male and female) wa kushare nao ideas za kimaisha especially mambo ya kimaendeleo, Mm ni msichana (25yrs) Elimu yangu bachelor degree Mjasiriamali Naamin...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Wanabodi kheri ya mwaka Mpya 2017!!!!! Napenda kuwatangazia kuwa mwaka huu mungu akinijalia nitatoka katika maisha ya useja na kuanza maisha ya ndoa ila Sina mchumba hivyo naleta tangazo langu...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25, niko chuo kikuu kimojawapo hapa Tanzania, natafuta msichana ambaye yuko serious tukajuana kiundani ikiwezekana hadi kucheck afya then tukawa...
0 Reactions
4 Replies
746 Views
Mimi ni binti mwenye umri wa miaka 25, natafuta mchumba anayenizidi miaka mitano(5) na kuendelea. Sharti awe mkristo ( Mlutherani sitaki kuwachanganya watoto na pia nahitaji familia yangu iwe ya...
9 Reactions
248 Replies
22K Views
Hello, I'm looking for a woman who isn't all about games and at-least has something going for herself. Someone who is respectful, has morals and values, someone that just basically is...
1 Reactions
3 Replies
933 Views
Habari, Mim ni msichana 31 natafuta mume wa kunioa. Nimeokoka na mpenda Yesu, sina mtoto nina elimu ya chuo kikuu ila nimejiajiri mwenyewe nafanya biashara. Sifa za mume awe na hofu ya Mungu na...
11 Reactions
175 Replies
18K Views
Ni matumaini yangu kila mtu yuko poa. Baada ya kukaa nikatafakari sana nimeona maisha ndo haya haya, wakati ndo huu. Hakuna sababu ya kusubiri sana. Mimi ni kijana miaka 27. Nina shahada ya...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Habarini zenu wana JF, Kwa jina naitwa Langston, nimejitokeza hapa kwa lengo moja tu kubwa la kutafuta ubavu wangu, mi ni mwajiriwa naishi Dar maeneo ya Tabata, umri wangu ni 24 ni mweusi na...
1 Reactions
7 Replies
9K Views
Heri ya mwaka mpya ndg zangu.!Mimi naitaji rafiki au marafiki wa kushare ideas tofauti za kimaisha.for nina elimu ya chuo kikuu na pia ni muajiriwa ktk taasisi ya kifedha (bank).napenda kuwa na...
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 27 nahitaji mwanaume wa kuishi nae mimi, nipo serious, maelezo zaidi ni pm tuzungumze kuhusu dini, na kazi na ninapoishi, kejeli pembeni.
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Sifa zangu: RANGI=>maji ya kunde MIAKA=>21Years KAZI=>Miner DINI=>Musilm Sifa za anaehitajika: RANGI~Awe mweupe,maji ya kunde au softblack sio darkblack MIAKA~25kurudi nyuma KAZI~Awe mchakarikaji...
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Back
Top Bottom