Hadi leo hii bado kutokana na sababu mbalimbali na mojawapo ni kutokuwa serious kwa baadhi ya wahusika, nina miaka 30 na ni vyema zaidi mtarajiwa aka chini ya hapo.
Aliyeko tayari karibu PM...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30,natafuta mpenzi/mchumba wa kuoa,umri kuanzia 18_27,mimi niko morogoro. Unaweza nitafuta moja kwa moja kupitia namba 0629160442. Karibuni akina dada wenye...
Habari,
Mimi ni kijana wa Kitanzania Government Servant, ninahitani mwanamke umri 23-30 HIV Negative, Superstitious Negative nikipata mnene mwenye mwili itakuwa safi, kwa aliyetayari.
Salaam wana jamii;
Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na "threads" nyingi zenye MSG ... NATAFUTA MCHUMBA ama NATAFUTA MUME .......
Shida yangu si hilo hitaji bali TERMS and CONDITIONS...
Iam looking for a female friend who have a positive attitude, courage and self determination. should not exceed 30 years with any belief (christian or muslim). anybody who is ready can send a...
Heri ya mwaka mpya wana JF,
Leo nimekuja hapa natafuta mchumba/mke wa kuoa na tujenge familia mimi nina miaka 30 ninaishi Moshi Kilimanjaro, naomba ambaye yuko tiyari anicheck pm au kwa namba...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato.
Aliye tayari tuwasiliane pm
Wakuu Natafuta mke
Umri awe na miaka 25 kuendelea.
Elimu diploma na kuendelea.
Umri miaka 38.
Nimeajiliwa serikalini.
Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na...
Seriously kwa aliye tayari ani pm.
Natafuta mchumba, sifa ni kama zifuatazo;
. Awe binti asiyezidi miaka 28
. Mrefu kiasi
. Mwembamba si lazima sana ili hata akija nenepa asiwe tinginya
. Elimu...
Wazazi wangu hawataki nioe mchagaa wakati ndo nampenda,wanataka nioe tofauti na mchagaa (mmarangu)wakati nampenda sana huyu msichana kwani anasifa zote za kuwa mke.Na ukizingatia umri wangu wa...
Matumaini yangu mko pouwaaa, na maandalizi ya sikukuu zilizo mbele yetu.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 27, Elimu diploma.
Ninaishi Dar es Salaam japo sio mzawa.
Ni Mkristo RC
Natafuta mpenzi...
Natafuta mke wa kuoa. Akipatikana ndoa haraka.
Awe msomi kuanzia degree.
Kipato kinachijitosheleza.
Awe na upendo.
Umri kuanzia miaka 29
Mkristu au awe tayari kujadili dini. I'm
Umri wangu nini...
Maana herb clinic zimekuwa nyingi kitaaaa mpaka sielewi naskia wanatibu kabisa sio za kuongeza hapohapo kama viagra...
Na kwann hii biashara imekuwa kubwa ivi
Ni ukweli usiopingika kuwa asilimia kubwa ya Dada zetu hupenda sana chips mayai, chipsi kuku
Imefikia wakati wako radhi kula chakula icho hata Mara tatu kwa siku na hata mwezi mzima.
Hivi kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.