Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nashukuru nimempata mtu nilie kua namuitaji
1 Reactions
52 Replies
4K Views
Mmeeeelewa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli halali inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nina miaka 27, nipo dar, nina bachelor degree,ni muislam Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Awe muislam Awe na umri miaka 18-30 Awe na elimu kuanzia kidato cha nne Awe na upendo wa kweli Kwa...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Habarini za sikukuu? Mimi ni mwanaume wa Bara Umri wangu 30 yrs Ni mrefu mwembamba kiasi Mweusi kidogo Dini mkristo. Elimu darasa la saba Kazi yangu nimejiajiri na Pia nimeajiri. Nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
743 Views
Si mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa katika jukwaa hili. Natafuta rafiki wa kike anayejitambua, awe matured kiakili na kimwili! napenda mtu mkweli mcha Mungu wa kweli, mwenye elimu ya kidato...
2 Reactions
3 Replies
972 Views
nahitaji mwanamke mkubwa kuliko mimi umri wangu ni miaka30 natafuta mwanamke kuanzia32 alie arusha mwenye kujiweza kiuchumi tasaidiana malengo afaham kuwa nna watoto wawili lengo ni maisha awe muislam
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Hi ladies, nahitaji wife umri kati ya miaka 20-30, dini yoyote ile na kabila lolote, as long as npo JF most of my time, I hope hata wife nitapata hapa hapa JF. +255621031241
1 Reactions
1 Replies
660 Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 28,sijashindwa kumpata mke huko mitaani ila watu waliopo humu ni walewale waliomo mitaani, tena unaweza kukuta unaumiza kichwa binti unayemuona mtaani kumbe hata...
0 Reactions
6 Replies
729 Views
Hey ladies I need a woman to begin a relationship with, but she must not be dependant to me. Anybody read pm me
0 Reactions
7 Replies
854 Views
HELLO' Naanza kwa sifa, awe na umri usiozidi miaka 30, awe na umbo la kawaida tu but usiwe mnene, pia usiwe na watoto ulikwisha kuzaa.sio mweupe sana ila awe natural....uwe na kazi yoyote tu ili...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari JF Members, Mimi ni mama wa mtoto mmoja nahitaji mwenza aliye serious. Mwanaume ninayemuhitaji awe na umri kuanzia miaka 34-45. Awe tayari kuwa baba wa mtoto niliyenaye, awe na upendo wa...
12 Reactions
201 Replies
15K Views
Wife anahitajika
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Umri wangu nini miaka 40. Elimu:chuo. Anatafutwa mke Umri kuanzia 30-40. Mwenye chini ya Umri huo asitume maombi. Sitaki kuwa na mwanamke tegemezi. Awe na kipato kisichopungua 3m kwa mwezi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nataka kuowa mwanamke Bikira wa miaka 20 . Umri wangu ni miaka 45 , Muislamu graduated from applied mathematics dep. nafanya kazi nabiashara.
0 Reactions
14 Replies
1K Views
kigezo: awe mtu mzima kuanzia kuanzia miaka 26+ awe dar.. mimi nna miaka 24, mrefu kdgo maji ya kunde AWE MPENZI MPENZI WANGU ASANTE
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa. Ni mrefu kiasi pia...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni kiziwi Natafuta mwanamke wa kuishi nae. Awe mwislam au alidhie kubadili dini, awe na miaka ,18-32 alive tayari atume SMS tu. 0757738384
0 Reactions
7 Replies
999 Views
Habari zenu Ni kijana wa miaka 24 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom