Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Am a girl miaka 25 naishi Arusha. Natafuta rafiki hapa Arusha ambaye anahitaji company kama mimi...nmejifungia ndani mpaka nahisi kuwa chizi...i need to get out there but sina mwenyeji... Sio mtu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, natumai ni Wazima Mimi ni kijana nimeamua kujitokeza kutafuta mchumba ili badae aje kuwa mke, mwenye upendo wa dhati Sifa zangu -dini yangu muislam -umri Miaka 30 - Kazi...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
habari wana jf nina umri wa miaka 29 natafuta mpenzi nina maisha yangu na kazi yenye kipato cha wastani kwa maelezo zaid tonane pm
1 Reactions
0 Replies
798 Views
Habari ndugu zangu, pole kwa majukumu ya kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 27, ninatafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano kwa lengo kuja kuishi nae pamoja awe na umri wa...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Post za aina hii zimepamba moto sana jf, hakika nyakati zimebadilika. Vijana fanyeni kazi, acheni kupenda ukitonga
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habari ya jioni wapendwa...... Ni matumaini yangu Hamjambo humu ndani, Mimi ninaitwa Nzory Mussa kutoka Tanga Tanzania... Nimeingia hapa kwa lengo la kutafuta MARAFIKI ambao tutakuwa...
0 Reactions
3 Replies
778 Views
Kiukweli nimechoka na upweke na upweke unaniumiza sana,nipo hapa kutafuta mke awe mwenza wangu wa maisha mimi ni mwanaume wa miaka 48-55 mwanamke mwenye nia thabiti na mwenye ukweli karibu sana
0 Reactions
0 Replies
951 Views
Mimi ni binti wa miaka 25 elimu yangu ni form four, natafuta mchumba alie tayari kua kwenye mahusiano na baadae kua mume, sichagui dini wala kabila, ila awe mkweli.
5 Reactions
39 Replies
4K Views
Habari wa j4 kwamala ya kwanza najitokeza kuwatangazia natafuta mwanamke ambae nitabadilishana nae mawazo na mapenzi tutakapo itaji ila angalizo siitaji kuoa ila nitadumu nae kwenye uhusiano labda...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Katika hali isiyo ya kawaida mzee mwenye umri wa miaka 75, Athuman Mchambua, mkazi wa Mtoni kwa Azizi Ally jijini Dar es Salaam amezua gumzo mtaani baada ya kuamua kutafuta mke kwa kuweka bango...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Umofia kwenu, Jamani nahitaji mwanamke ambae atakuwa tayari tuishi pamoja as soon as possible sifa zake. 1 Mweupe 2 Mwenye kamwili kidogo 3 Atleast awe na kazi anafanya asiwe wa kukaa home tu 4...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Mimi nahitaji mwanamke aliyeko serious kwa ajili ya kuoa, elimu yangu ni degree, umri ni 27yrs. Sifa za mwanamke ninayemuhitaji Awe muislam Awe na elimu kuanzia form four Awe na umri kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 naelekea 27, kabila msukuma, dini mkiristo, elimu ya kawaida, kazi mjasiriamali. Makazi kwa sasa niko kahama ila soon nitakuwa Dar. Mwanamke ninayemhitaji...
0 Reactions
5 Replies
892 Views
Wanawake ukweli ni kwamba hakuna mwanaume anayetaka kuwa na Six Packs ili a date na mwanamke mmoja tu.. Ukiona mwanaume ana Six Packs maana yake anataka kuvutia wanawake wengi.. Ungejua Kazi...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
nahitaji girlfriend kuanzia 17yrs-20yrs nipate through my phone no:
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Am planning to have a self driving to Tanga via Bagamoyo, Saadan national park, Pangani final destination Tanga. It's a leisure trip , any single under23 girl please send me pm
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Wajameni mimi huyu mtoto jinsi siku zinavyozidi kwenda ndio nazidi kumuwaza na ku-imagine vitu mbali mbali sijui nitampataje. Pls!! usije dnt bring polits and hate posts in this thread lets enjoy...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ni maisha niliyochagua, nataka niishi hivyoo. Baada ya msichana wangu kugoma kuzaa bila kuoana, sasa nimeamua kuachana na suala linaloitwa ndoa. Ni Mkataba wa miaka 3. Nataka mwanamke wa kuzaa...
12 Reactions
142 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom