Habari wana love connect.
Natafuta mke wa kuoa Niko serious kabisa Ngoja nitaje sifa zangu halafu niainishe za ninayemtaka
Sifa zangu kwa uchache
+Nina miaka 32
+Mrefu ft6 mweusi mwembamba kiasi...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba wa kike mwenye vigezo vifuatavyo;
1.Awe mweusi mnene wa wastani na urefu uwe wa wastani.
2.Awe mkiristo.
3.Awe mfanyakazi hususani Nurse...
Mie ni mwanaume mwenye miaka 30, nahitaji mwanamke wakuzaa nae, awe mwenye umbo saizi ya kati, anaejielewa, mweupe wa asili, mrefu kiasi, aliye tayari kuzaa, umri miaka 25 hadi 30. Aliye serious...
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo:
- awe muislam na mwenye imani ya dini
-kuanzia miaka 30 up to 40
-mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema...
Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nipo dar nina elimu ya juu ninatafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27 hadi 40
Karibuni inbox kwa aliye serious
Umri wangu ni miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kimoja hapa nchini.Ni mwanaume mchapa kazi na nwenye upendo wa dhati.Msichana nae muhitaji awe mdogo kiumri kiasi kuliko Mimi...
Umri wake usizidi miaka 24 awe mwajiriwa. Sifa zangu umri wangu 26 mwajiriwa serikalini elimu yangu diploma aliye serious tu anicheki 0658778422 au 0745645518
Ni serious kabisa waungwana nataka kuoa.
Mipango ya kuoa itafanyika haraka sana.Vigezo ni kawaida, awe na miaka 23-26, mweupe au maji ya kunde. Pia akiwa mwalimu ni vizuri zaidi,apatikane...
Mimi ni kijana wa 26ys, naishi Dar. Nimejitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye mapenzi ya kweli umri wowote kabila lolote, kinachotakiwa awe na mapenzi ya dhati, kwa aliye serious anakalibiswa PM...
Hellow,
Naitwa Patrick wa Dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo;
Mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri...
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
Habar za jion wanajukwaa!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 ninaishi mwanza! Ninatafuta mwanamke mweny vigezo vifuatavyo
1:Anizid umri kama miaka mitatu na kuendelea
2:Awe mtanzania
3:Awe...
Hakuna kitu kinauma kama umkute X wako kapendeza sana tofauti na ulivyomuacha.
Unamkuta amefanikiwa kinoma. Ukimuangalia unamuona kabisa maisha kashayapatia.
Na pia hakuna raha unapata kama...
Baada ya uchunguzi wa muda mrefu hatimaye nimeweza kugundua haka kamchezo ka members wa JamiiForums kutumia ID mpya pindi wanapotafuta wapenzi je sababu nini yakuja na ID mpya? Joined today na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28. Nahitaji mwanamke mwenye matatizo ya kizazi yaani ambaye hawezi kupata mtoto au amabye ana kizazi ila hatarajii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.