Mimi nina umri wa miaka 35 na ndiyo niko kwenye Ujasiliamali. Muda wangu sasa wa kuwa na mke naona kuwa ndiyo huu hapa.
Sijawahi kuwa na mwanamke kabla. Hivyo kwa sasa ninamuhitaji niwe naye...
Wakuu,
Katika tafiti zangu za kuangalia jukwaa hili kila siku na thread zinazofunguliwa nimekuja kugundua kuna uwezekano mkubwa wa mwanamke kupata mwenza wake kuliko kwa mwanaume.
Hii ni...
Hamjambo wanaJF,
NIko na rafiki yangu mwanamme toka Mombasa anatafuta mwanamke mwenye yuko serious kuolewa na awe amesoma atleast awe na elimu ya form 4 Kenya ama Form 6 Tz.
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 23-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm.
WanaJF,
Hivi kweli nyinyi mnaotafuta wachumba kupitia humu JF uwa mnawapata?
Maana mimi naona sipati japo ninatafuta. Au wanaotafuta wanakuwa wanafanya mzahamzaha wakati sisi tulio serious...
Natafuta rafiki wa kike, tuweze kuongea na kubadilishana naye mawazo wa maswala ya kila siku yanayotokea duniani. Awe kwanzia umri wa miaka 21 na kuendelea.
Kikubwa ni mtu wa kuwa na maongezi...
Mimi nina mke lakini kuna vitu navikosa navihitaji toka nje. Nahitaji mwanamke atakayeelewa kuwa mimi nina mke na atakayeelewa mipaka yetu. Mahusiano yetu yatakuwa ya kimapenzi na kushirikiana...
Hi ladies and gents, boys and girls
Well let me be open
Wapenzi natafuta mpenzi ila awe nje ya africa, my dreams was kuolewa na kuishi nje,
Mwanaume serious umri kuanzia miaka 35 mpka 69,
Ni...
Sifa
- Si zaidi ya miaka 40
- Mkristo, mlokole atapewa kipaumbele
- Awe na kipato halali, anajitegemea.
- Elimu si chini ya form 4
Mimi sina uwezo wa kuzaa na nimejiajiri.
Karibu tufarijiane!
Kwa...
Mimi ni mwanaume mwenye 30s nina elimu ya kutosha na hela ya kula siyo tatizo.
Natafuta mwanamke mtu mzima awe anajitambua. Awe flexible ninapomhitaji awe tayari.
Awe mrembo na awe anaishi mkoa...
Mimi ni kijana nina miaka 27 npo Dodoma ni mfanyabiashara wa kawaida natafuta mwanamke wa kweli wa kuoa mwenye mapenz ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao wameumiza sana moyo wangu kwa kipind...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 ndo niko mwaka wa mwisho kati ya vyuo vikuu hapa Tanzania, Nahitaji rafiki wa kike na atakaye kuwa tayari tuanzishe familia kadri MUNGU atakapozidi kutupa uzima...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 24 ndo niko mwaka wa mwisho kati ya vyuo vikuu hapa Tanzania, Nahitaji rafiki wa kike na atakaye kuwa tayari tuanzishe familia kadri MUNGU atakapozidi kutupa uzima...
Nina umri wa miaka 27 npo Dodoma n mfanyabiashara natafuta mwanamke wa kuoa mwenye mapenzi ya kweli maana nmekuwa na wanawake ambao hawana mapenzi ya dhati wameniumiza sana kiukwel haijalishi umri...
Wasifu wangu;
Age 30, Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, niko Dar,
Sifa za mchumba wa kike;
Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati.
Njoo PM mchumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.