Habari zeni wakuu, natumani hamjambo na mkiendelea na maisha kwa rehema ya mungu wetu. Nina miaka 27, sina mtoto, niko chuo mwaka wa mwisho( 1st degree),nataka kuwa mmke, kama kuna yeyote...
Kichwa cha post chajieleza. Nipo kigoma kikazi Na nitakuwepo takribani miezi mitatu,naomba kampani yako ewe mdada. Tafadhali atakae kuwa interested karibu pm.tuzungumze.
Heshima kwenu ndugu zangu.
Natafuta "MKE" sio mwanamke......kwa sababu wanawake wapo wengi lakini ambao wanafaa kuwa "MKE" ni wachache sana. Kuwa mwanamke haimaanishi kuwa wewe unafaa kuwa "MKE"...
Umri:20-26
Elimu: Shahada
Asiwe na mtoto,
Awe mkiristo
Mwembamba; maji ya kunde au mweupe. Mrefu wastani
Sifa zangu
Umri 27, elimu yangu ni shahada, maji ya kunde, mkiristo, Nina hofu ya Mungu...
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi
-usiwe maneno mengi
-usiwe mlevi wa kuchart
-km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member
-Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
Ndugu wanajamiiforum heshima kwenu wakuu. mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 natafuta mke mwenye ajira yoyote inayomwingizia kipato ili nishilikiane nae kujikwamua kiuchumi, binafsi nipo...
Wasifu wangu;
Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nipo Dar,
Sifa za mchumba wa kike
Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati.
Njoo PM mchumba...
Mimi ni kijana wa miaka 25 urefu1.8 meter na ni maji ya kunde pia ni mwajiriwa serikalini, natafuta mke wa kuanza nae maisha mwenye umri kati ya miaka 20-25, dini yoyote ile awe mzuri wa kuvutia...
Hii ni dhamila ya kweli. Nahitaji kupata mke kutoka humuhumu JF. Awe chini ya miaka 30 maana mimi nina miaka 33. Mwenye dhamila ya kweli kama mimi, tafadhali tuwasiliane kwenye namba 0717938489...
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde . Nina tatizo la uzazi
Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_tatizo. La uzazi,
_Umri 30 _40...
Natafuta mrembo humu JF,tusomane kwa miezi 6 kwanza.
1.Bill ya nyumba alipe miezi 3 na Mimi nitalipa miezi 3 jumla miezi 6 ya kujifunzana tabia.
Tukikoleana tufunge harusi.
Nimechoka kuishi...
Mimi ni msichana wamiaka 32 mkazi wa Arusha, natafuta mtu ambae yuko teyari kuingia kwenye seriously relationship now, I'm in Dar for a month kama unaitaji njoo inbox.
Mimi ni kijana mwenye miaka 28 nafanya kazi sirari mkoa wa mara.Natafuta mchumba wa kike 18-25 wa kuoa hata kesho ila sijatahiriwa.
Aliye tayari anipm.
Natafuta mchumba ambaye atakuwa mke wangu wa maisha siku si nyingi..
Sifa zangu
1.Mrefu.
2.Maji ya kunde.
3.Mwili wa wastani.
4.Mkristo.
5.Mfanyabiashara
sifa zake
1.Mrefu,
2.Maji ya kunde au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.