Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wasifu wangu. Elimu:nina shahada ya kwanza, umri wangu miaka 29. Nahitaji msichana kuanzia umri wa miaka 25 na kuendelea. Sichagui dini wala kabila wala kiwango cha elimu,muhimu awe na mapenzi ya...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Habari wakuu natafuta mwanamke wa kuoa sichagui kabila awe na miaka 26+ mweupe dini mkristo awe anaishi dar es salaam aliyetayari karibu pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28, nafanya kazi Sirari mkoa wa Mara. Natafuta mchumba wa kuoa hata kesho,awe na umri wa miaka 18-25 ila sijatahiriwa. Aliyetayari ani pm tupeane...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi. Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Kama wewe ni msichana na unapenda kufurahi..,unapenda utani ila sio ulioptiliza waweza nicheki sijali umri wala dini wala kabila ila pia fahamu mimi single...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za saa hivi wanaJF, Let me go straight to my point, mimi ni msichana single 25 this year, napenda sana kusafiri kuliko maelezo, yani for leisure na adventure kipato changu ni cha kawaida...
4 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari, Nimerudi kwenu tena kuwapa mrejesho kwani nimeshampata nimpendae nae amenipenda, nawashukuru wana JF wote kwa kunipa changamoto kwani kutafuta mpenzi sio mchezo wa kitoto, asanteni sana...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Mimi ni kijana 27 years of age. Turning 28 next year January 15th. Ni mtu na kazi yangu na nina elimu ya Degree. Nimezaliwa na kusoma Kenya na kazi pia nafanyia huku. Sasa nataka kuoa msichana wa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Mimi nilishawahi kuweka tangazo humu la kutafuta mke lakini sijampata aliyekua na vigezo. Mimi nahitaji mwanamke wa kuoa, umri wangu 26yrs, muislam elimu yangu ni nina bachelor degree. Mwanamke...
0 Reactions
5 Replies
908 Views
Kama wewe unajiamini ni mrembo huna makuu zingatia sifa hizi -usiwe maneno mengi -usiwe mlevi wa kuchart -km unamagroup ya watsap hakikisha nakuwa member -Lazima uwe na mtoto (mmoja tu) na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi Ni mume wa mtu,mke wangu yupo nje ya nchi kimasomo. Natafuta mwanamke wa kunipa kampani wakati huu wa upweke mpaka pale wife atakaporudi.... Awe na sifa zifuatazo: 1. Miaka 20 hadi 34 2...
0 Reactions
5 Replies
745 Views
Wasifu wangu Age 30,Elimu chuo kikuu, kazi - nimeajiriwa, nko dar, Sifa za mchumba wa kike Age 22 and above. Sina ubaguzi wa kabila, dini , etc. Cha msingi upendo wa dhati. Njoo PM mchumba tuyajenge
0 Reactions
7 Replies
2K Views
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1120291/ Mwanaume kupiga punyeto wakati mkewe yuko ndani ina maana gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau natafuta mwalim Mwenye degree anaesubiri ajira awe mke.. Sifa.. 1. Awe mrefu 2. Msabato 3. Preferably msabato awe below 28 Mimi nakaa dar elim yangu degree , nafanya kazi serikalini na...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Mm ni kijana wa miaka 29 nahitaji mchumba ambae nitamuoa na awe tayari kuanza maisha na Mimi awe mweupe au maji ya kunde miaka 20-24, awe mkristo ila kabila lolote aliye taysri anicheki 0766971149...
1 Reactions
0 Replies
911 Views
Mambo? Mi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 Nimeajiriwa serikalini Nipo mkoa wa Mtwara Nahitaji mchumba Awe ameajiriwa au amejiajiri. Awe mkristo Miaka kuanzia 28-35 Awe mrefu kiasi. Asiwe na...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwenye miaka 27 mwislam,nipo Kanda ya ziwa, natafuta msichana mwenye akili ya maisha, haijalishi mkoa gani yupo, umri chini ya 27 au 27 dini sio kigezo sana, elimu sio kigezo piah...
0 Reactions
0 Replies
661 Views
Natafuta Mchumba wa kike aliye serious. Umri wangu ni miaka 29 Mkristo nimeokoka, Nina ishi DSM na ni mfanya biashara.Msichana naye mtafuta awe na umri si zaidi ya miaka 28, awe mwenye kumuogopa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
kama wewe ni binti unaehitaji mapenzi ya kweli nitafute,sihitaji utani tafadhali wala mwanafunzi wa sekondari labda wa chuo,umri 18 mpaka 35, zaidi PM
1 Reactions
3 Replies
793 Views
Naomba nitoe pongezi kwa uongozi wa JamiiForums kwa kuanzisha hii platform ya mahusiano. Niliwahi kutoa thread yangu hapa kuwa natafuta mchumba/ baadae awe mke wangu. Zilikuaja PM kibao lakini...
5 Reactions
85 Replies
6K Views
Back
Top Bottom