Habari zenu wanajukwaa, mimi ni kijana kutokea nyanda za juu kusini ni muhitimu wa chuo, moja ya vyuo vikuu hapa nchini, natafuta mwanamke ambaye atakuwa mke wangu hapo badae umri wangu ni miaka...
Mimi ni kijana mrefu handsome Nina miaka 30 natafuta mwanamke mwenye mapenzi ya dhati na aliye serious kuishi maisha ya ndoa
Nina uelewa mpana juu ya tamaduni tofauti duniani kwani nimesafiri...
Sifa zake, awe na miaka 18-22, awe mkristo, awe na heshima, awe msikivu na mwenye kupenda maendeleo. Sifa zangu nina miaka 26, ninajiheshimu, ni mkristo na ninadegree moja aliyetayari anicheck...
Mimi ni mjane nina watoto 3, nina miaka 43, ni mfanyakazi nina hofu ya Mungu. Nahitaji mume ambaye ana watoto pia awe mcha Mungu na mwenye shughuli halali ya kumuingizia kipato. Umri wake...
Kijana mtanzania,miaka 30,mkristo nahitaji mwanamke ambaye yupo tayari kuolewa,dini yoyote,kabila lolote awe anajishughulisha na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato,mwenye shape,mrefu maji ya kunde.
Habari zenu wandugu,
Natafuta mpenzi awe na umri kuanzia miaka 25 -30 Awe mnene kiasi asiwe mfupi sana. Elimu kuanzia form 4, awe muislamu. Umri wangu ni miaka 30. Nimeajiriwa katika kampuni...
Jamani hii ni mara yangu ya kwanza kuanzisha thread humu, nina umri wa miaka 24. Elimu yangu ni degree ya kwanza kwasasa nimeajiriwa kwenye kampuni moja hapa jijini mwanza, dini yangu ni rc. Ni...
Mimi ni mwaname mwenye umri wa miaka 45, divorced, mtoto mmoja, mkristo, natafuta mwanamke mwebye umri kuanzia miaka 27 mpaka 40, mwenye sifa zifuatazo:
Mkristo, ila asiwe mlokole
Elimu kuanzia...
Greetings
I once came here to link-up my girlfriend(girlfriend,read it correctly) with someone who might be interested to start a potential relationship with her.It sounded weird to some,but yet...
Nina miaka 29,nahitaji mchumba mwenye miaka 18-28 na awe anapatikana musoma-mara au mwanza.Aliye tayari anitumie ujumbe pm kwa maelezo zaidi.
Niko serious
Mimi ni kijana wa miaka 31, nimwajiliwa serikalini, nahitaji mwanamke wa kuishi naye kama mke.
Sifa;
1.Mrefu
2.Mweupe
3.Mcha Mungu
4.Awe tayari kuishi mazingira ya kijijini kwa wakati huu.
Aliye...
natafuta rafiki wa kweli
jinsia awe mwa kike
miaka 30-50
awe anaishi dsm
awe mpenda out ajue viwanja awe ananitembeza ila tu asiniuze maana wanawake sisi? sitaki kudalaliwa
awe na kipato...
any race, religious, ethics, education, location,,,, age U25.
I tall slim not black neither white, Christian, haya living dar es saaam,
interested lady call\text 0713 123 160.
DONT REPLY HERE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.