Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Ndugu wana JF, Natafuta mke mwenye moyo wa kumpenda Yesu si kwa kuigiza, ili aje anilelee watoto vizuri .maana ktk malezi, mama ndo kilakitu kwakweli. Dondoo: Nina miaka 30, ni mtumishi wa umma...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari wana jamvi Naona imefika wakati wa kutafuta mwenzi wa maisha ila Kigezo kikubwa ni awe Mwalimu hasa Sayansi na Hisabati.. Kipaumbele cha serikali sasa ni Sayansi na Hisabati.. Sitaki...
1 Reactions
85 Replies
6K Views
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM. Mimi...
4 Reactions
148 Replies
16K Views
Anatafutwa mchumba anaeishi na virus vya ukimwi.alie series na mwenye hofu ya mungu.BINTI anaetafuta mchumba ana umri wa miaka 24.kwa alie na utayari aje inbox kwa maelezo zaidi
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Hellow, Mimi ni mdada 26 yrs, elimu yangu ni degree na nimeajiriwa, nahitaji mwanaume ambaye naweza kuanzisha mahusiano na tukafika somewhere, awe na umri 29-34, awe anajielewa, mkristo, elimu...
10 Reactions
100 Replies
8K Views
Sifa za mwanaume: -Awe mkristo Umri kuanzia 29-35 Awe na kipato chake Mwenye mapenzi ya dhati Sifa zangu Mimi ni mkristo Nina miaka 27 Rangi yangu ni black(beauty) Nimeajiriwa...
17 Reactions
153 Replies
19K Views
Mimi ni msichana mwenye umri wa Miaka 25. Nimeajiriwa na npo Dar. Natafuta mwanaume aliye serious kuwa na mimi. Vigezo: Awe muislam Mkazi wa Dar. Aliyejiajiri or aliyeajiriwa. Umri 27_30. Kabila...
14 Reactions
59 Replies
9K Views
Nina miaka 28, Mkritu, Sina kazi, Elimu yangu form 4, Natafuta mchumba awe mkritu, Atakaeweza kunitunza nami nimtunze, Miaka 30-35. Kama uko tayari ni pm.
3 Reactions
67 Replies
6K Views
Sawa na kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mmama mtu mzima (40-50) natafuta mbaba mtu mzima asiye na mke (aliyeachika au kufiwa) tujadili tuone kama tunaweza kuyasongesha. Awe kuanzia miaka...
1 Reactions
31 Replies
7K Views
Mimi ni msichana wa miaka 25, mrefu, mweupe, mkristo, sina mtoto ni degree holder na kwa sasa nimeajiriwa, natafuta rafiki wa kiume ambaye baadae tunaweza kuwa mume/mke kama itafaa. vigezi vyangu...
13 Reactions
204 Replies
19K Views
Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wana JF. Wapendwa mwaka jana nilitoa uzi wa kutafuta mchumba, na nashukuru Mungu walijitokeza wengi wenye na wasio na vigezo, wengine waume za watu(wonders never seize) Nilifanikiwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Hakika naona ndugu zangu mmejisahau sana. Wakati majukwaa mengine wakiendelea kupiga kelele kuombwa jeshi la police wamwachie mkurugenzi mtendaji wa Jf, hapa watu wanaendelea kukomaa na ishu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi wadau, kama thread inavyosema am a man of age btn 30 and 34 nahitaji rafiki au marafiki wa kike kw ajili ya kudiscuss mamambo ya maisha kwa ujumla na mitoko ya out na kupeana...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Naona mada za kutafuta wake zimekuwa nyingi lkn naomba nami nitoe ombi lang. Nahitaji mdada muadventista msabato baadaye aje kufanyika mke nami niwe Mme wake. Mimi ni kijana miaka 30, mfupi...
2 Reactions
54 Replies
8K Views
Natumaini niwazima wote ninaomba kwa wadada tu nipate wadada wakuchat nao tu sina la ziada hapo au labda itokee lakini kuwa sasa nahitaji wadada wakuchat tu nione pm nikupe contacts. tuwasiliane...
0 Reactions
2 Replies
805 Views
Habari zenu ndugu , natumai nyote mpo poa , Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo jinsi yyt , kwa sasa nipo znz kibiashara ila dar pia nakuwepo , karibun nyote
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Hello JF, Rafiki nipo hapa aged 30, jinsia (Me), muajiriwa/mjasiliamali. Napenda movies, kusafiri, kuogelea, kutizama mpira(Man Utd), na vengine vingi. Kama unahitaji rafiki, karibu tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
769 Views
Hello LoveConnect Members! Jaman mimi kijana nina miaka 27 ninajishugulisha na biashara natafuta mchumba wa kike umri kuanzia miaka 18-26. Awe na mapenz ya kweli PM kama uko interested
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-25, awe na shughuli inayomwingizia kipato. Aliye tayari tuwasiliane pm.
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom