Natafuta mke, awe mwenye hofu ya Mungu, mimi ni Mkristo kwa hiyo akiwa Mkristo sio mbaya sana na awe mwenye maono ya Kimungu zaidi.
Elimu yangu ni Shahada (Degree), ni mwalimu, nina miaka 31...
Habari wanajamvi,
Mimi ni mdada mwenye miaka 26, elimu diploma ni mwajiriwa,nina mtoto,
Natafuta mwenza anaejitambua na mwenye huitaji wa serious relationship;
-Awe mkristo mwenye hofu ya Mungu...
Mimi ni mwanaume wa miaka 24, sijaoa, natafuta mpenzi niko Mbeya, awe na kazi yeyote ya kujikimu, awe mkristo wa dhehebu lolote, kabila lolote, umri wa chini yangu. Mungu akijaalia tuanzishe...
Ni Msichana mwenye umri wa miaka 28, mkristo, Elimu ya chuo nahitaji rafiki ambaye kama itampendeza Mungu awe mchumba kisha mme hadi kifo kitutenganishe awe Mkristo, kabila lolote awe mcha Mungu...
Mwanzo 2:18 'Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye'.
Habarini za Leo wanafamilia wenzangu wa JF. Nimeanza kwa nukuu hiyo kutoka katika kitabu...
Asanteni sana wadada wote mlionesha nia ya kuwa na mm pm tokea jana, ila nadhani moyo wangu umeamua na umemdondokea mtoto mzuri mwenye jina la ua, asante uwaridi langu wa moyo, nadhani we can take...
Habari wana MMU bila shaka mmesherekea sikukuu ya Chrismass na Mwaka mpya vizuri na kwa amani,ingawa jana kundi la Panya Road limetikisa Mji maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam kama Sinza...
Mambo, mimi ni kijana wa miaka 31. Naishi dodoma. nimepanga na kuajiri. kwakweli natafuta mdada au mwanamke mwenye hela awe kama sponsor wangu katika mambo mbalimbali ila na mimi nimpe utamu...
__________________________________________________
Siku moja jioni Rais Obama alimshauri mkewe wakale dinner mtaani huko Washington ktk mgahawa wowote wa watu wa kawaida. Wakakubaliana kisha...
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima.
Kwa Mara ya kwanza najitokeza kuandika Uzi huu special kwaajili ya kumtafuta msaidizi/mke/mchumba aliyeandaliwa kwaajili yangu.
Mimi ni kijana wa miaka 26...
Sifa za mtafutaji,
Jinsia : Me
Umri : 24yrs
Elimu : Chuo
Kazi : Nimejiajiri
Dini : RC
Kabila : Sukuma
Mahali ninapopatikana : Kanda ya ziwa
Sifa za mtafutwaji,
Jinsia : Ke
Umri...
Mimi ni mwanaume umri 35, natafuta rafiki wa kike ambae ni mpweke anyeishi Arusha kwa ajili ya kuchat na kubadilishana mawazo...awe na umri wakuanzia miaka 20 hadi 30...Kwa alitayari afadhali...
Ni mgeni sana katika mtandao huu maarufu, nimejitokeza leo nami nitupe huku karata yangu kutafuta mke wa kuoa, na hii ni baada ya kuona jamaa zangu kama watatu wamefanikiwa kupitia JF, umri...
kwa jina naitwa malamia
kabila langu mchaga
umri wangu miaka 35
mchapakazi sana
elimu ya chuo
sijawai kuolewa
sijawai kuzaa
naishi dodoma ila mwakani nitahamia dsm nimeajiriwa
dini mkristo...
naitaji mwanaume wa kuanzisha familia kama nilivosema miaka yangu ni 35 elimu chuo kikuu dini mkiristo .
mume nimtakae awe mtu mzima kama miaka 40 na kuendelea dini yoyote
mawasiliano...
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 nipo dar,nimeajiriwa na nnakazi nzuri tu.Natafuta mchumba aliye serious lengo,badae awe mke.vigezo_awe na hofu ya Mungu,(elimu)awe kafika chuo,awe ameajiriwa...
Wakati mwingine siyo lazima wote tuchangie kila mada. Unakuta mada ya mwanaume anatafuta mpenzi/ mchumba au mwanamke anatafuta mchumba na katika bandiko lake ameweka umri na vigezo. Wewe unajijua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.