Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nina mpenz wangu tnapendana sana lakin kanizidi umri mmoja Sasa wanadai ni vbaya msichana kumzid mvulana so nlikua naomba ushaur jaman
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 nimeajiliwa natafuta mchumba ambaye atakuja kuwa mke awe mkristo pia aliye na shughuli yoyote hata mfanya biashara halali umri kuanzia miaka 23 kuendelea mpaka 28...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana miaka 30.Natafuta mchumba rangi, umbo, elimu sio kigezo ili awe anajielewa,anajitambua asiwe tegemezi awe mchapakazi. Kama unaona uko tayari ni pm tuwasiliane. Kwa wale wa masihara...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wote wa Jf, Binafsi nmekuwa msomaji mkubwa sana wa jf (As Guest User) mpaka kipindi hiki nilipopata msukumo wa kumtafuta mwenza wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume wa miaka 31 natafuta mke wa kuoa aliye serious kwa ndoa awe na umri wa miaka Kati ya 20-28 aliye tayari tuwasiliane pm tafadhari asanteni
0 Reactions
3 Replies
717 Views
Habari zenu wapendwa. Naamini JF ni sehemu nzuri sana ya kufahamiana. Nimeshuhudia watu waliooana kipitia jf.Hivyo nami naamini nawezapata mke kupitia humu. Mimi nina 43yrs. nimejiajiri, mrefu...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni msichana umri miaka 26, muislamu, elimu ya chuo kikuu, muajiriwa serikalini. Natafuta mchumba umri 32+, muislamu mwenye hofu ya Mungu, elimu ya chuo kikuu, kabila lolote...
6 Reactions
70 Replies
13K Views
Mimi ni msichana mwenye umri 31. Elimu Degree, nimeajiriwa serikalini, na ni mkristo. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, awe na umri kati 31-45.Elimu angalau kidato cha sita...
12 Reactions
113 Replies
14K Views
Habari. Kuna ndugu yangu wa kiume anaitwa denis. Achagui dini. Ila mkristu angefaa zaidi.Ana miaka 36. Yuko serious anatafuta mchumba mwanamke mwenye umri kwanzia 21 baadae aje awe mke. Yeye kazi...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
natafuta mchumba ili baadae aje kua mama wa familia yangu umri miaka 18-40,awe mcha Mungu.mwonekano awe mrefu kiasi na asiwe mnene sana.Awe anatokea kusini Aliye tayari anitumie ujumbe...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Habari za jioni wana MMU, Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria sana lakini bado sijalipatia jawabu ni kuhusu hili jukwaa la love connect. Kwa wale waliotafuta wenza huko naombeni kujua kama...
3 Reactions
34 Replies
3K Views
Am a man turning 24years old later in this year. I am still a student at a certain institute here in Tanzania. And I think it is the right time for me to find the right woman to whom, I shall...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naitwa Ahmed Naish Dar es salaam Gongo la mboto Umri miaka 24 Kabila Mndengereko Natafuta Mchumba ili awe mke wangu Nipo serious na sio masihala Umri awe 18_23 Mawasiliano 0719 608563
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi all Mimi ni mwanamme wa miaka 29,ninatafuta mpenzi wa kike. 1.Awe mwenye mapenzi ya dhati na mwenye kupenda mapenzi ya dhati,na mwenye kuthamini utu. 2.Sichagui rangi,ila kama ni mweupe...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 sasa nakuja hapa kwa mara ya kwanza, natafuta mwanamke mwenye miaka kuanzia 23 kuendelea mpk 29. ambaye yupo tayari tuwewapenzi kwa ajili ya kuja kuoana...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36 natafuta Mke wa kuoa atakaye kuwa tayari kuishi na mimi katika hali zote. Awe tayari pia kuishi na mume nje ya dar es salaam, awe na umri kuanzia 32 mpaka...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume Nina miaka 28 nahitaji binti wa miaka 20-25 aliyeko tayari kuanza mahusiano awe na hofu ya mungu, self respect, simple (no too much makeups) ametulia ,msafi,mcheshi, mrefu wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28, ninatafuta msichana kuanzia miaka 20-25, ili awe mchumba na Mungu akipenda tuje kujenga familia huko mbeleni. Wasifu wangu; Mimi ni mfanyabiashara...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo 1. Awe na ngozi yake original ambayo haijachubuliwa wala kuongezwa chemical yoyote 2. Awe na nywele zake halisi 24hrs 3. Awe na nyuso kope na rangi ya macho yake...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wadau natafuta Mwalimu aliemamaliza mwaka Jana awe make please, inbox me, awe mzuri na awe anaishi dar
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…