Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Sifa zangu ni mwanamke mwenye umri miaka 26, sijawai kuolewa sina mtoto, elimu yangu form4 na dini mkristu kazi nimejiajiri na ujasiriamali mpaka, sifa za mwanaume umri. Miaka27-35...
12 Reactions
133 Replies
11K Views
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 Elimu ni Chuo kikuu. Nimeajiriwa nipo kikazi Arusha. Natafuta msichana wa Malengo nae atakae nipenda na nitakaempenda awe mama bora wa familia niwe baba bora...
2 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi ni kijana,33 years,nafanyakazi,mrefu kiasi,sio mweusi sana,mkristo,napenda kuangalia sinema na kusafiri,mazoezi na real estate. Natafuta msichana wa miaka kati ya 24-32 awe mpole na...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote. Mwanaume...
22 Reactions
133 Replies
21K Views
Habari wana JF, Kwa mnaokumbuka thread yangu ya kutafuta mke: Nimefikia muda kuwa na Familia, kwa aliye tayari kwa Ndoa ajitokeze Nimerudi kuwakushukuru, nimepata mke mwema wa kufanana nae...
17 Reactions
166 Replies
13K Views
Habari zenu wana jukwaa, Nimeanzisha Uzi huu si kwa utani bali ni kwa uhalisia na hisia za moyo wangu baada ya kuwa nimepitia mengi katika mahusiano. Niliuambia moyo usukume damu ila...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kama tittle ya thread inavyosoma hapo Juu. Natafuta mdada mwenye kujielewa wa kujenga nae maisha. Please kwa mdada yeyote mwenye kukidhi vigezo ani pm tuyaanzishe mahusiano. Wasifu wangu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari za muda huu wakuu mimi nikijana na umri wa miaka 20 natafuta mpenzi awe na umri wa miaka 18 hadi 20 elimu darasa la saba au kidato cha nne kama yupo anicheki pm.
1 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari zenu wana janvi.., katika dunia hii hakuna palipoandikwa ni sehem gani unaweza kupata mke au mme., bali ni sehem yeyote unaweza kupata mwenza wa maisha yako ya hapa dunian.Kuna watu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF, Lazima uwe mvumilivu ndio utampata. Si vinginevyo
9 Reactions
92 Replies
8K Views
Habar zenu wana jamii forum hususani wale wa kitengo hiki? Kama kichwa cha habar kinavyoeleza natafuta mchumba wa kike ambaye atakuwa mke wangu. Elimu yangu ni degree moja nilihitimu mwaka 2015...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
awe makalim umr miaka .18 hadi 22 mi niko dar rangi yoyot kabila lolote aliye serous anitafute 0714702720
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naitwa Thom natafuta mchumba baadae mke nipo serious umri miaka 26 ninayemhitaji awe na 22-24 mm nimeajiriwa serikalini itapendeza akiwa ameajiriwa pia hata sekita binafsi dini mkristo nina mtoto...
0 Reactions
1 Replies
562 Views
Kazi yangu ni Engineer, ila natafuta mwanamke alie na uvumilivu kwa mimi na kazi yangu,kusafiri kwenda nje ya nchi ya tz na Tanzania ndio ajira yangu kuu wakati nikiwa kikazi,na mwanamke awe...
3 Reactions
59 Replies
8K Views
Umri wanu ni miaka 35, natafutarafiki wa kike abae ni mpweke kama mimi kwa ajiliya kuriwazana, kushaurina na kupeana moyo katika mambo mbalimbali ya maisha... kwa anaehitaji tafadhali anitumie...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mimi ni kjana kwenye umri wa miaka 27 Natafuta Msichana ambaye baadaye tukiweka mambo sawa na kuelewana tuishi pamoja Kama mme na mke Mimi ni mwajiriwa nafanya kazi. Sijawahi kuoa..vigezo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke hasiyependa ngono ili awe mke wangu wa maisha mimi miaka yangu kati ya 46 na 50. Karibu sana.
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Nitakuwa na vacation tarehe 19/02/2017 wiki 1 au 2 nahitaji mdada atakayenipa kampani twende wote Nairobi kwa kipindi hicho, nina umri wa miaka 39, 95kgs niko Arusha. Pm kama interested.
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Hellow guys..natafuta rafik wa kike umri 22-26. Awe mkirsto wa roman catholic au hata lutheran. Pia awe na elimu kuanzia ya chuo, iwe diploma or degree ts ok, ambaye tayr anafanya kazi, vizur zaid...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mimi umri wangu ni miaka 40. Nilikuwa masomoni nje ya nchi. Natafuta mke. Niliwahi kuwa na mahusiano na nina watoto wawili na ninawapenda sana. Dini yangu mkristo. Mke awe mkristo. Umri wa mke...
4 Reactions
302 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…