Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habarini za wakati huu Mimi ni mtanzania kijana mwenye umri wa miaka 26 mwenye asili ya kinyamwezi. Nafanya shahada yangu ya kwanza ya Elimu kwenye moja ya chuo kikuu hapa nchini. Ninahitaji...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina miaka 28, dini muislamu, kazi yangu ni mwalimu, nahitaji msichana wa kuoa awe na vigezo vifuatavyo awe muislam, awe na elimu kidato cha nne awe mweupe, wa asili siyo wa mkorogo awe hajazaa...
0 Reactions
67 Replies
4K Views
A
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume mwenye miaka 29,natafuta msichana wa kuwa nae kwenye mahusiano na hatimae kuoana nae.awe na umri kuanzia miaka 22-26,mcha mungu,anaejiheshimu na kujithamini,mchapakazi,mwenye...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 natafuta mke wa maisha umri sio tatizo kikubwa awe na mapenzi ya dhati dini sio shida kwani ataendelea kusali alipokuwa
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Natumai mko poa wanajukwaa hili. Najitokeza kwenu leo kwa lengo moja tu la kutafuta mschana ambaye yuko tayari tuwe wachumba na hatimaye tufikie lengo la kuanzisha na kujenga familia. Nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Nimeingia Dar es salaam kama miezi sita sasa nikitokea mikoani ambako nilitoka baada ya kuachana na mke wangu. Kutokana na hali ya jiji watu kutoaminiana nimekuwa muoga kutongoza mademu...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Mfano mie napenda nimpate mwanaume mrefu, mcheshi, mchapakazi, asiwe mchoyo asiwe mpenda ndogo, asiwe na maringo. Je, inawezekana kumpata? Pia asiwe mchafu maana wanaume wengine mhhh! Na anipende...
16 Reactions
261 Replies
22K Views
Mim ni msichana, umri miak 26 ,elimu yangu kidato cha sita.. nahitaji mwanaume wa kuwa nae kimaisha anayefanana na mm, yaan kwenye vvu, awe na umri kati ya miaka 28-32 ,pia awe muislamu kwa sababu...
8 Reactions
82 Replies
7K Views
Naitwa Peter Odada, miaka 31 Kabila Jaluo, Urefu cm 182, rangi maji ya kunde, elimu diploma ya biashara(CBE Dodoma) Kazi biashara makazi Kilimanjaro. SIFA ZA MKE Awe na elimu kidato cha 4...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za mida hii wana JamiiForum
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Salaam, wana JF Kwa mara nyingine tena naleta mbele yenu maombi yangu nikiwa naamini kwa moyo wangu wote kuwa lipo jibu miongoni mwenu. Haja ya moyo wangu ni kumpata binti au mwanamke ambaye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Naitwa obed Frederick, nahitaji msichana alie tayari kuwa na mimi hatimae tuweze kupanga maisha mimi ni mwajiriwa serikalini vigezo kwa mwanamke awe anapenda ibada awe mwalimu au nurse. If...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mdada 26 yrs Masters holder Tall 179 cm 73 kg currently Mweupe wa kawaida Mwajiriwa Christian Beautiful with brain Mwanaume awe From degree kuendelea Mrefu kama mimi Awe...
5 Reactions
140 Replies
9K Views
Habari za leo wana JF. Ninakuja mbele zenu na hoja yangu ambayo kama kichwa cha habari kinavyosema natafuta mke. Lakini kwanza nataka tuanze na urafiki wa kawaida, tufahamiane halafu tuendelee...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawai olewa, dini ni kristo kitu ninachokipenda napenda kupika na kucheza mziki situmii kilevi chochote. Mwanaume ninaemuhitaji...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Habari zenu wapendwa. Mimi ni binti nahitaji marafiki wa kike na wamama pia Kigezo ni uwe mcha Mungu umeokoka.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi mwanaume, umri miaka 35 Naishi Dar es Salaam. Natafuta rafiki wa kike wa maisha umri miaka 30 mpaka 40. Awe anaishi Dar es salaam.Mengi tutaongea tutakapo onana Karibu
1 Reactions
4 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…