Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mgane 50+ kama upo serioua just PM me.
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Nina nia ya dhati kabisa na ukweli kutoka moyoni mwangu najitokeza hapa kutafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI ili awe mwenza wangu wa maisha na tuishi maisha ya matumaini mimi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Awe mweupe au maji ya kunde.umri kuanzia miaka 17 hadi 25.Mimi ni kijana,nimeajiriwa na pia nimejiajiri.kama una vigezo ni pm.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu wana jamvi mimi ni mtanzania ninayeishi hapa Dar natafuta mwanamke wa kiarabu kama atakuwa tayari ani pm
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Ni kijana wa kiume ninamiaka 32, nimeajiriwa hapa DSM nahitaji mchumba awe kati ya miaka 25-28, mweusi, mnene pia awe mkiristo na asiwe mrefu sana. Karibu pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama wewe ni mwanamke, umri wowote na huna mtu wa kukufanya utabasamu kila wakati, njoo tubadilishane mawazo, tucheke, tutaniane kidogo na tufurahi pamoja. Kwakufanya hivyo itakufanya uwe na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ni kweli natafuta mke sasa. Umri nao umeenda sasa. Kwa masuala ya details yatakuwa kati yangu na huyo atakayeni inbox. Kwa kweli najua wapo wanawake humu wengi tu na wazuri tu ambao kwa namna moja...
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Kama uko tayari dm,kwa wadada na wamama tu
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 47!Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virus vya UKIMWI ili awe mke wangu na tuishi maisha ya matumaini sina vigezo vingine na sina ubaguzi wowote wa umri...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
I need a muture person to talk to tafadhali si mapenzi wala kutongozana I need advice a single mom am so confused please
0 Reactions
41 Replies
6K Views
My love i have found this site jamiiforums it's very interesting with amazing people some understand how i feel some they don't others told me to put effort while others hates me but i can't feel...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza ninahitaji kupata mtoto na nimeonelea nitafute mwanamke/mdada ambaye yuko tayari kwa hilo kisha tukubaliane terms & conditions. Ningependa mhusika...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28 Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Contact email chugaraa.tz@gmail.com or inbox me PM
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hello, I'd love to correspond to the above mentioned pple, I'm simple, charming and easy to get along with. Indeed a gentleman. Friends of all gender pls. Karibuni sana. wmerwis@gmail.com...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa Prosper naishi Ndanda wilaya Masasi mkoan Mtwara umri wangu ni miaka 25 ni mkiristo na elimu yangu ni kidato cha nne. Natafuta mke ,umri kuanzia 17-24 sichagui dini kabila wala elimu. Niko...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jf kwa jina naitwa bony nko mwanza natafuta Rafiki wa kike ambae Yuki mwanza hapa hapa
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Habari wana jf, Mwenzenu mwaka unaisha cijafakiwa kupata mchumba Naomba sala zenu nifakiwe kumpata mchumba mwaka huu kabla haujaisha ili mwakani nifunge ndoa!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Toka 2014 sijamsikia wala kumsoma ila nimesoma mtandao mmoja ''VIKI'' akilalamikiwa kwa sms za kitapeli. Atakuambia ana jambo muhimu uwasiliane nae kwa e mail kisha fix zinaanza, Hajitambulishi km...
0 Reactions
2 Replies
940 Views
Back
Top Bottom