Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jamani wana Jukwaa nawatangazia nafasi wazi ya mwenza baada ya aliyekuwepo kuachia ngazi. Nasubiri mwitikio wenu wadau
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Vigezo awe n mrembo na mwenye umri wa miaka 18-25. Kuhusu kabila awe ni mnyamwezi, mngoni,mnyakyusa,mchaga na muhaya.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Am 29 years old with honest and bachelor degree+ CPA am working in a good company as Financial Accountant in really am looking a commitment girly who will show commitment to me and create a...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta marafiki wa kike umri uwe miaka 30 -48 sitaki taabu ya kumsumbua na mtu mengi yatafuata
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naitwa erick Nipo dsm Natafuta mchumba miaka kuanzia 17 mpaka 23 Vile vile natafuta marafiki wa kuchat nao kubadilishana mawazo mawasiliano 0654937160
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Rejea kichwa cha post hapo juu, Ila awe anaishi sehemu moja kati ya hizi kwa sasa Dodoma, Morogoro na Dar au katikati ya maeneo tajwa,kama ni muislamu basi akubali kuwa mristo baadae,tabia njema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya Virusi vya ukimwi,umri wangu ni miaka 47 tuwasiliane kwa email ifuatayo sekenemboh@gmail.com au tuma sms ktk namba 0715 33 85 27 ahsante!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Mimi ni binti mwenye umri kati ya miaka 25 hadi 30 na mwaka 2010 wakati niko kwenye maandalizi ya ndoa na aliyekuwa mchumba wangu tuliambiwa tukapime, na ndipo nilikutwa...
1 Reactions
99 Replies
22K Views
Natafuta rafiki wa kike awe kati ya miaka 20-25
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jf wenzangu wakibwa na wasalim agemate mambo vipi, leo nimeona nilete uzi mwingine huku! Mimi nauliza je hawa wanaotafuta wachumba, wapenzi, madem pamoja na marafiki hivi mnawapata...
1 Reactions
6 Replies
823 Views
Wasalaam...... Mimi mwanaume mwenye umri wa miaka thelathini (30) nimejiajiri na pia ni mhitimu wa shahada ya kwanza, lakini hapa naomba kwa aliye tayari yaan mwanamke wa umri wowote ..ana...
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi. Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Natafuta mchumba wa kike umri 25-30 fani lazima awe mwalimu either secondary, primary, lecturer or tutor. Kwa mawasiliano zaidi ni PM
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wish you luck my sister umpate mwanaume umtakae nimependa the way ulivoandika post yako,u seems u so intelligent i really appricate on you japo sikufahamu..nakuombea upate mume mwema..all the best...
0 Reactions
110 Replies
12K Views
Hi
Hi
1 Reactions
3 Replies
812 Views
Nahitaji mke mwenye umri kuanzia miaka 28 hadi 33. Awe mkristo, elimu f6 na kuendelea. Awe na mwili wa wastani. Kama una nia ya dhati ni pm tafadhari tuongee zaidi.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mm ni kijana mwenye umri miaka 25 elim degree mkristo mcheshi ninajitambua natafuta msichana mwenye umri miaka kati ya18_25 dini yoyote rangi yoyote isipokuwa asiwe mweusi sana elim kuanzia 4m4...
0 Reactions
0 Replies
850 Views
Wanajamvi habari za leo, Kwa hakika nimeleta wazo langu hili hapa jamvini lengo langu kubwa ni mwanamke wa kiarabu.Sifa na mambo mengine tutaeleweshana tutakapo kuwa tumewasiliana
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Awe na kuanzia miaka 20 hadi 27..asiwe na mtoto..elimu haina shida..vitu vingine sijali...asiwe amewahi kuchumbiwa...basi....
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nafuta mimi ni mdada wa miaka23 natafuta marafiki bila kujali jinsia umri23-30. Karibuni kwa pm
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom