Dini awe Muislam,umri usiozidi miaka 23,kama mkristu awe tayari kubadili.
Awe tayari kwa ndoa wakati wowote pindi tutakapo ridhiana,
Mm ni mtumishi serikalini,na nipo kanda ya ziwa,kwa aliye...
Ni matumaini yangu wote mu wazima!!!
Nimejitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike wa kuchart nae, ila
1. Awe free asiwe controlled girl
2. umri wowote ila asizidi 23, ninaamini 24 nakuendelea...
Mi ni mwanaume nina watoto wawili mmoja wa kike na mwingine wa kiume nina miaka 42 ninaishi mwanza natafuta rafiki hasa wa kike kati ya miaka 35 na 40.
natafuta msichana aliye serious tuanzishe urafiki ikimpendeza Mungu tuende katika upande wa pili we maisha, awe mchaji na mwenye hofu ya Mungu pia awe anayejitambua.. umri usizidi miaka 27 pia...
Specifications;
Miaka 27 nachini yahapo, awe nakazi serikalini (yoyote), mrefu na mweupe au maji yakunde mimi nafanya kazi serikali nanimwaminifu.
Mdada mwenye sifa hizo nayuko serious nandoa...
Mimi ni kijana aged 33 natafuta Mwanamke asiye na mume aged 37-40 asiwetegemezi tusikatishane tamaa mpaka nikaamua hivi nimejifunza mengi nipo Mwanza kwa Wanawake waliosonga umri. Karibuni sana.
Namtafuta Mchumba wa like Mwenye umri kati ya 25 na 35. Awe na Elimu ya chuo kikuu kuanzia shahada 1- 3.Awe ameajiriwa au amejiari. Awe anaweza kunilea vema na kunijali
Mimi na shahada ya PHD na...
habari wana jf, kichwa cha habari chajieleza;
mimi ni binti mwenye umri wa miaka 28, mkristu,mweusi kwa rangi(chocolate), elimu yangu ni ya ngazi ya shahada, ni muajiriwa serikalini.
ninatafuta...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 , natafuta rafiki wa kike ambae tukikubaliana na kuelewana tutaanzisha familia .awe na elimu yoyote,kabila lolote,rangi yoyote ila awe msafi tu.
Wazazi wangu walifariki kipindi kitefu kilichopita, kutokana na changamoto za maisha ya kila siku kuna kipindi nahitaji mawazo ya wakubwa na kufarijiwa kama mtoto kwa wazazi.
Naishi kwa...
Wadau,
Mimi natafuta mwanamke kuanzia miaka 35 hata kama ana mtoto/watoto sawa tu tuanzishe mahusiano maana naona hawa wasichana wadogo wananisumbua tu bado hawajamaliza usichana. e-mail yangu...
Habari JF!
Kwanza kabisa heshima iwe kwenu! Mimi nimekuwa ni mtu wa kuumizwa sana na mapenzi! Kila mtu nae kuwa nae mara nyingi huwa najikuta nimempenda sana sana! Halafu mwisho wa siku huishia...
Morning JF,
Mimi ni binti natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavyomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama...
Morning jf,
Mimi ni bint natafuta mom and daddy wa hiari ambaye atanipa maneno mazuri ambayo mzazi umpa mwanae ambaye atanifariji kama mzazi anavomfariji mwanae pia ambaye atanipenda kama mzazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.