Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta girlfriend awe mwanachuo Dar, mimi mwanachuo nina umri wa miaka 24, dini mkristo awe mkristo mwenzangu.
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ndugu wana JF mie ni kijana wa miaka 28 naishi Dar. Nimemaliza chuo na kuna sehem nafanya kazi. Natafuta mwanamke wa kuoa coz nimechoka kua single for a long time. Natafta mwanamke aliye serious...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
hellow jamaa niko Serious very serious...! napenda nikutane na Mwanamke Mnene kwelii (bonge,tufe) mweusi ninapenda sana mwanmke wa Namna Hiyooo!! please please! nina Miaka 25 mrefu mweusi elimu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mi ni kijana wa miaka 22, natafuta msichana anayejielewa na mkristu mcha Mungu ani pm.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello people, I have this lady friend of mine.She seriously needs someone to hook up with and get into a serious relationship of which marriage is the ultimate goal(Repeat it louder) She is aged...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ningependa kukutana na wabongo kama mko pande hizi. Just kufahamiana na kula bata.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa uhai na afya. Lakini pia nachukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea.Baada ya shukrani zangu hizo sasa niende moja...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
Wish to get a true lover, nimekua single n lonely for so long...I think imetosha sasa na umri nao haunisubiri mimi, tatizo linakuja "who!?..mmmh!
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Nina umri wa miaka 22 nipo chuo,natafuta rafiki wa kike wakubadilishana nae mawazo umri 18-25.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rafiki yeyote wa kike anayejihisi kuwa rafiki mzuri anakaribishwa. Any age, nia ni kuchat na kubadilishana mawazo, you are welcome. Ni PM nikupe no zangu.
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Kama kichwa kijielezavyo. Mimi ni kijana wa kitanzania nina miaka 23 sasa hivi nipo mwaka wa mwisho chuo kikuu UDSM -undergraduate. Baada ya mama kufariki, nimeishi bila mama hivyo basi natafuta...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari wana jamii jf,nahitaji mchumba nipo dar aliyetayali ani pm
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta mchumba wa kike Muislam,mwnye kumcha Allah na mwenye maadili mema. Umri 18-22 mwenye kuajiriwa au aliejiajiri,nipo serious na nahitaji mtu aliye serious pia,mimi ni mtumishi serikalini na...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wadau wa JF mimi ni kijana wa kiume wa miaka 30,natafuta mchumba ambaye atakuwa mama watoto wangu,kiwango changu cha elimu ni Degree. Mchumba/Mwanamke ninae muhitaji awe na sifa zifuatavyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habar Mimi ni kjana mwenye umr wa miaka 25.. Pia ni mwajiriwa wa serikalin ni mwalim shule ya msing ambaye nimeanza kaz mwaka 2014 Natafuta mchumba mwenye sifa zifyatazo; 1;Awe muislam 2; umr...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni msichana, Nina miaka 27, mkristo(RC), Nimeajiriwa Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde) Makazi yangu ni Dar es Salaam Elimu- Diploma ya Finance Nina mtoto mmoja Sifa: Awe na...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Mwanamke mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI namuhitaji ili tuishi maisha ya matumaini napenda awe mtu mzima kwakuwa mimi pia ni mtu mzima naomba tuwasiliane kwa 0658 511 714...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi kama kichwa cha habari kinavosema kama upo ready njoo pm
1 Reactions
0 Replies
836 Views
Back
Top Bottom