Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari zenu wapendwa, Natafuta mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 35-40 awe mkristo, najua mtaanza kushangaa umri lakini najua kabisa wapo hapa wanaume wenye umri huo na bado hawajaoa kwasababu...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Natafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 18~30 Johnkipepe@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kaka yangu anahitaji mke ambaye ni very simple, yaani asiwe mcharuko na mpenda starehe hasa pombe n.k umri wake ni 34years. Mwanamke yoyote ambaye yupo serious awasiliane naye kwa 0629141421...
0 Reactions
9 Replies
948 Views
Habarini, Naitwa Innocent(Me),Natafuta rafiki/marafiki wa kubadilishana nae/o mawazo ya kimaisha;awe dereva au kondakta wa magari ya abiria yafanyayo safari ndani ya jiji la Dar es Salaam.Umri...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nimeamua kujitosa kutafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo:_ a. elimu angalau kidato cha sita b.awe anatoka nchi za A/ mashariki c. awe anaishi USA au UK d. hanakazi au anakazi - sintojali e. awe...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wapendwa nawasalimu kwa jina la Bwana! Kama heading inavyojieleza hapo juu. Natafuta mwanamke ambaye ana utayari na maisha ya ndoa. Sifa za mwanamke nimtafutae ni kama zifuatazo:- 1. Awe...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello wapendwa, Poleni na mihangaiko ya kila siku. Nimejitokeza humu kwa mara ya kwanza kabisa. Kifupi natafuta mwanamke ambaye badaye atakuja kuwa mke wangu seriously. Mimi na mwajiriwa na...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ninajitokeza kwenu kutafuta rafiki wa kike ambaye kwa baadae aje awe my wife to be.Niko Lindi umri miaka 26. Kabila ni Sukuma asiwe mwanachuo na ikiwezekana atokee au awe wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Awe na sifa zifuatazo, Elimu Chuo kikuu hata kama hajapata kazi, Mrefu wastani, sichagui kabila wala Dhehebu.
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Awe binti wa kiislam na asizidi umri wa miaka 27, aliyetayari aje PM kwa mawasiliano zaidi. Elimu yangu ya chuo kikuu, nafanya Kazi serikalini
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwanamke mwenye maambukuzi ya UKIMWI karibu awe tayari kuishi maisha ya matumaini tuwasiliane kwa 0714560515 mimi nina miaka 48.
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Kichwa cha habari kinajieleza,nina umri wa miaka 27,ni mwajiriwa serikalini, kwa umbile ni mrefu maji ya kunde,elimu yangu ni barchelor degree. Nahtaj binti wa kiislamu wa kufunga nae pingu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu mwanamke mwenye elim ya dini ya kiislam anatafutwa
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mm naitwa moody kabwe nina umri wa miaka 28 Nahitaji mke wa kuo ila mimi kwa sasa sina kazi niliachishwa kazi kipindi cha kampeni za uchaguzi na bos wangu yeye ni ccm baadala ya mimi kutekeleza...
1 Reactions
58 Replies
7K Views
kwa mara nyingine najitokeza hapa, natafuta rafiki wa kike, awe mkweli, awe mcha Mungu wa ukweli, awe muwazi, napendelea awe mrefu, umri kuanzia miaka 24-27... elimu kuanzia kidato cha sita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye sifa zifuatazo; . Awe na umri kuanzia miaka 30 . Mcheshi . Elimu haijalishi awe na kazi . Kuwa na mtoto haijalishi - Uje PM.. Wasifu wangu: Nina 25 Nina shahada ya kwanza Nina kazi...
12 Reactions
157 Replies
18K Views
Habari wana jf? Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba (mke) kwasababu zifuatazo. 1. Umri wa kuoa umefika sina muda wa kusubiri naamini pia Mungu ndiye kanileta hapa. 2. Wadada wengi ninaowapata...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nina miaka 23..ni mkristo...kwa maelezo zaid ni pm Wanaohitajika. ..umri 26-35
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salamu wakuu, Natafuta mrembo wa ku chat naye. Anyone interested Inbox me .. Private message Asante
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hi I am a man aged 23 years old and 178cm tall. I am a Tanzanian. I am a second year bachelor's degree student. Am here looking for any single girl with the equivalent age as stated above on the...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom