Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
thank you
1 Reactions
0 Replies
727 Views
Hello natafuta mwanamke wa kuchat nae umri kuanzia 26-30 aliue tayari karibu PM Lengo ni long term relationship sitaki ubabaishaji karibu
1 Reactions
0 Replies
874 Views
Iam a boi with 25 yrz; Natafuta mwanamke mwenye tru lv,kuanzia 26 yrz mpaka 35,ani PM kama vp
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Age from 30+
0 Reactions
0 Replies
526 Views
Mimi ni kijana umri 27, nahitaji galfrend, sifa zozote sichagui aliyetayari ani pm
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Umri wangu ni 23.Umri wa ni mtafutae 28-35..Dini mkristo mwenye hofu ya mungu.Kwa mawasilino 0744818200.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wanaboard. Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe. Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu. (Quran...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
1723839!'(""(#))@82-#:#'*:?*!"$+#:#-@7272&#;*+#?)"7$-$$-$$(!#:@@)#?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji mke so nimeamua kutafuta mchumba atakae kuja kwa my wife,sihitaji mwanafunzi wa sekondari,kama wa chuo poa,awe anajua majukumu yake,unaweza kunipata pia kwa namba...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwanza napenda kumshukuru Mungu kwa Neema ya uhai na afya. Pili napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru wote wanaoifanya jamiiforum kutufanya tupate pa kusemea. Tatu nawashukuru wadau wote wa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mrejesho Hhr wadau WA jukwaa hili? Napenda kuchukua wasaa huu kuwashukuru nyote kwa michango yenu na mawazo yenu. Pia nawashukuru wote mliyekuja pm, isingewezekana kuwapa nafasi wote kwakuwa...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Kichwa cha habari chahusika hapo juu.. > Kama upo lonely > Frustated > Hopless > You need company > And unconditional care Plzzz pm me now...I wil respond on time! Vigezo na masharti kuzingatiwa
1 Reactions
6 Replies
1K Views
mie ni bint wa miaka 25 ni h.i.v possitive din mkristo , mwajiliwa katik kampuni fulani hv, ni mrefu ,rangi maji ya kunde.... kwa mwanaumw aliyetayar tuyajenge maisha kwa kufarijian na upendo...
2 Reactions
65 Replies
6K Views
Awe msichana umri 18-24 urefu siangalii umbo asiwe modo mwenye sifa aje pm ni hayo tu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naitwa J, umri wangu ni miaka31, naishi Dar, elimu shahada ya kwanza, dini Mkristu, situmii kilevi chochote, nimtakae awe na umri 25-36, awe mweupe, elimu kidato cha nne mpaka shahada...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Natafuta mume wa kunioa, awe mkristo Elimu: Diploma na kuendelea Kazi: Awe na shuguli yoyote halali ya kumuingizia kipato, Mwonekano: Asiwe mfupi sana na asiwe mnene sana. Sehemu: Awe anaishi Dar...
3 Reactions
82 Replies
12K Views
Naomba mwanamke yyt mwenye kutaka urafiki nami si kuoana unri kuanzia 30 hadi 46 ajitokeze zaidi tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau karibuni wanaokizi kigezo hicho karibuni
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Hello Girl. Poleni na kazi ndugu zangu' mimi naamini mke uliyepangiwa na Mungu unaweza kutana naye popote. Naomba mdada yoyote aliye single au hata kama upo katika mahusiano yasiyo seriously...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
habari wana JF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 36,nina mtoto mmoja wa miaka 6 natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mke wangu.Mimi ni mfanyabiashara nina kipato cha kawaida kuendesha maisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom