Mimi ni kijana mwanaume mwenye miaka 28, nahitaji msichana kwa ajili ya kufunga ndoa. Umri kati ya 20-28, awe mcha Mungu. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane PM.
Dada zangu,kaka zangu na wadau wote wa Jf,naombeni mnisamehe,nimekuwa kihelehele kutafuta wachumba mitandaoni hasa kwa humu sasa nimejifunza.
Naahdi kurudi shule tena,na kamwe sitapost thread...
Hello,
Najitokeza hapa kutafuta mwenza/ mchumba wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.
Napenda mwenza huyo awe dini yeyote mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye melango ya maisha...
Sifa za huyo mwanamke awe anapatikana Dar es salaam, awe mkristo na mcha Mungu, miaka kuanzia 23-26.awe ni mtu wa kujishughulisaha either amehajiriwa au amejiajiri.
Imani yangu ni kwamba yupo...
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 22 natafuta mpenzi mwenye sifa zifuatazo.
1:Jina lake liwe linaanzia na herufi A,hapa kuna akina Asha,Angel,Amina,Anna,Asma,Aneth na wengineo(hii...
Mimi ni msichana
Nna miaka 25,mkristo(RC),mchagga
Nimeajiriwa
Nina umbo la wastani,rangi(maji ya kunde)
Makazi yangu ni dar
Elimu-BA
Nna mtoto mmoja
Sifa:
Awe na umri kati ya 29-35
Awe mkristo
Awe...
Si mara yangu ya kwanza wala ya pili kujitokeza katika jukwaa hili, sijafanikiwa bado natafuta..
Natafuta msichana anayejitambua, awe matured! awe mkweli mcha Mungu wa kweli, awe at least form...
Ni ukwel na sio uongo wana jf.Mimi nina miaka 26 mwanaume kamili..natafuta binti wa miaka 20~28.lakini tuanze kama marafiki kwa mda kadhaa ili tuweze kuzoeana kwa kila hali... pm inahusika
Habari Wana JF,
Natafuta msichana mkristu ambae atakuwa mchumba au mke wangu baadae,awe na shughuli ya kufanya,awe na elimu kuanzia darasa la saba,akiwa mwalimu ni poa zaidi mimi.
Wasifu wangu...
Ni mara yangu ya kwanza kutafuta mrembo aliyetayari kuolewa.
Vigezo;
Asiwe mfanyakazi sehemu yeyote
Maji ya kunde rangi yake
Mwembamba wastani
Asiwe na mtoto
Anayetokea mikoa ya kanda ya Pwani...
Mimi kijana mwenye miaka 30 nahitaji mpenzi ambaye kama akiqualify vigezo aje awe mke na mama wa watoto wangu.
Awe musilamu
awe angalau anashughuri yoyote inayomuingizia kipato
Hata kama amezaa...
Natafuta rafiki (jinsia yoyote) anayesoma au aliyesoma maswala ya journalism especially utangazaji wa TV/Redio.
Kwa ambaye atakuwa tayari kwa hilo, please send me a message!
I am looking for a woman who is going to be my wife. Age of 22-27 and should be independent. I'll consider mostly those from lake zone except kagera region. I am 29 yrs old.
More details will be...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.