Natafuta mchumba ambaye atakuwa my wife,mimi nina miaka 30 nipo Kinondoni.sifa zake awe mcha mungu,asiwe mvivu pia awe tayari kupima HIV na magonjwa mengine.aliye tayari ani pm namba yake...
Mimi nikiajana na umri wa miaka 28 - 33 jinsia ni mume.
Ni maji ya kunde mrefu wa wastani.
Ni mwanaume wa dar es salaam kama ulivomsemo wenu naishi dar
Nina kazi yangu inayoniingizia kipato cha...
Ladies and gentlemen?
I'm with profound joy indeed taking this wonderful chance inviting you all in my wedding day.
The wedding service will take place at St. Joseph church at 13.30 on 23. April...
Natafuta binti wa kuoa umri 23 - 27, sibagui dini wala kabila awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, mimi ni mkazi wa Dar na ni mwajiliwa serikalini, umri wangu miaka 29.
Ndioo kama inavyosomeka katika kichwa cha habari.
Aisee kama sio Mchaga usiniPM sitajibu.
Vigezo vingine:
-Awe mkiristu
-Mrefu au wa wastani-kama mfupi usiniPM tafadhali
-Uwe na kazi au...
Habari wana jamvi, Mimi ni msichana wa miaka 28 ,nilijigundua nina maambukizi ya HIV mwaka 2012.. Natafuta mtu ,mwenye hali kama yangu ,ili tuanzishe familia...
Natafuta mchumba mwenye dhamira ya dhati. Jinsia yangu ni mke na umri wangu 35 nina mtoto mmoja. Ninamtafuta mchumba mume awe na umri 38-45 anaye elewa maisha na kupenda akiwa na mtoto mmoja sawa...
Umri miaka 20 hadi 30
Sura yoyote
Umbo lolote
Mbinti au mtaraka/mjane
Elimu : Ajue kusoma na kuandika hadi çhuo kikuu
Awe na nidhamu
Msafi na kujipenda
Dini yoyote
Asiwe na magonjwa ya kuambukiza...
Hi JF,
I salute all beautiful, charming, God-fearing, and understanding ladies in the name of Love!
As my nickname stipulates, Am David, 28years of age, light in skin complexion, moderate...
Umri miaka 25 hadi 28
Elimu Digrii ya kwanza au ya pili
Awe mjasiriamali au mwajiriwa
Awe mkazi wa dar
Awe na upendo wa dhati.
Asiwe na mtoto.
Awe na afya njema awe amepima ukimwi na magonjwa ya...
Habari,
Nami leo nimeamua kujitokeza jamvini kutafuta mume ambae atakuwa wangu wa maisha naamini nitampata kupitia jukwaa hili.
Mimi ni binti mwenye miaka 28 muislam natafuta mume lakini awe na...
Hi guys, natafuta mume awe HIV+
Umri kati ya 30-35,awe anafanya kazi,na awe serious na maisha binafsi mm nina umri wa miaka 27, ni H I V + ni mwajiriwa wa serikali nipo Kilimanjaro,kwa m2 alie...
Mi mwanamke pia natafuta wa kubadilishana mawazo haswa za kibiashara,kikazi na changamoto mbalimbali za kimaisha mkoa wowote,nchi yoyote.Kuchat na kushare mambo mbalimbali na kupeana michongo...
Habari Wana JF,
Mimi nina miaka 34 na watoto wawili, niliachana na mme wangu huu ni mwaka wa nne sasa, ila hadi sasa sijapata mtu mwingine hasa wa kuaminika wote ninao wapata naona wadanganyifu...
Holla,Mambos?
Naitwa Sean, miaka 30, mfanyakazi(muajiriwa). Napenda kusafiri, kuogelea, muziki, kuwa na furaha na vingine vingi(vizuri). Kama unapenda kuwa rafiki, kubadikishana uzoefu na vingine...
Mimi ni binti nina miaka kati 24 hadi 27 yani hapa kati.Nina sababu maalumu za kutokutaja miaka kamili najitegemea, ni mweusi maji ya kunde, nimekuja hapa natafuta mwenza wa maisha, aliye tayari...
Hello everyone
A man who seriously wants a wife pls pm me so that we can start the journey.
I am a lady of 26 years
Born again Christian
Sukuma from Mwanza
Secondary school teacher
Currently...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.