Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Kuna mdada miaka 35 anaitaji mume mtanzania umri wake uwe miaka 45 na kuendelea hata kama ana watoto haina shida ila wasizidi 3, yeye hana mtoto kabila lolote dini yoyote yeye, ni mkristo elimu...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Natafuta mchumba wa kike mkwel ambaye yuko tayari kutunzwa,kupendwa na kujar bila Kuchoka. Yr 29 umri wang. Chagui din,rangi wala kabIla. N Pm kwa maelezo zaid
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari JF, Nimejitokeza jukwaani kutafuta mchumba ambae baadae nitamuoa. Nina miaka 30, mrefu wa wastani na kitaaluma ni mhandisi katika kampuni moja hapa Dar es Salaam pia mkristo. Mchumba...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari, Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 30 Natafuta mwanadada kwa ajili ya mahusiano ya kimapenzi tu(sio ndoa,ni mapenzi tu) Sifa: Awe anaishi kati ya DAR,MORO,TANGA,MOSHI au ARUSHA Awe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka 28, naishi Dar es Salaam,sijaoa,ni mwajiliwa,naishi Dar es Salaam,dini yangu mkristu. Nakuja jamvini kuomba urafiki kwa yeyote mwenye sifa kama hizi: Awe...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
naitaji mchumba , umri 23-27. nina miaka 32 mwenye nia ya dhati an Pm na phone no. nipo dar
0 Reactions
14 Replies
1K Views
natafuta mchumba biti wa kiislam mwenye maadili na anae jua dini vizuri awe na umri kuanzia 19 hadi 21 kwa mawasiliano anitafute kupita email yangu husseinomary0@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa kiume nnaejielewa vzuri tu. Natafuta mchumba awe na umri kuanzia 24-30yrs, elimu kuanzia kidato cha nne, awe mkristo na mkazi wa Dar es salaam. Its seriously wanajamvi tuache...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Yule aliye tayari au ana dada yake au jirani yake au anamfahamu tu basi aje pm kwa mazungumzo zaidi. Asanteni
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Nina miaka 25, nahitaji mwanaume(sio wa Dar). Awe na miaka 27_32. Asiwe cheusi mangala, aliye tayari anipm Nb. AWE TAYARI KUPIMA AFYA(HIV/AIDS) na magonjwa mengine
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Kwa jina la jamhuri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
deleted,,,seems to be a spam
0 Reactions
26 Replies
3K Views
n
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa. Ukiona haikuhusu potezea...
3 Reactions
114 Replies
14K Views
Dear Ladies @ JF, Hi, I am looking for a pretty girl or woman to whom we can establish a new bond/family together. She MUST POSSESS the following Qualifications: 1. Not married before, not...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za maisha walimwengu. Mie ni dada nimeolewa, na nina watoto. Nina swali. Nina mdogo wangu wa miaka 22, ninahisi ni bikra, ila sina uhakika. Kazi yake ni kupika tu home kwa mama. Wachumba...
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Sifa zake: 1. Awe mkristo, anamwogopa na kumheshimu Mungu. 2. Awe ana shughuli halali ya kumpatia kipato(asiwe tegemezi) 3. Awe kuanzia na kimo kuanzia 5 7" na kuendelea (asiwe mfupiiii sana) 4...
5 Reactions
81 Replies
11K Views
Mi ni me,nipo kigoma kikazi,natafuta marafiki wa kike tu ambao nitafuta nabadilishana nao mawazo,na mungu akipenda nahusiano,umri wowote,elimu yoyote,kazi yoyote ana watoto au hana.huwezi jua...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta mke wa kuanzia miaka 26-29
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom