Hi all!
Nahitaji mkaka yeyote amongst you who is heart-broken,lonely na hajawahi kupata true love katika mahusiano aloingia..Either your gal cheated or left u without any reason or with foolish...
Hi brothers & sisters,i have got an opportunity to work in Mwanza city..due to that am in need of friends to exchange ideas..
both men & women are needed,if your ready plz u can PM
Thanks!!
Namtafuta girl yoyote ambaye kakaa mamtoni kwa miaka anayojua yeye,awe ana mtoto au hana haijalishi as long tukakubaliana tuende next level,....awe UK,nchi za scandanavia au zingine za Asia...
Habar ndugu zangu!! mimi na Mwanaumwe mwenye umri wa miaka 30' nimekuwa katika mahusiano lakini yasiyo na manufaa, i mean sio serious relation sababu ya aina ya wasichana wenyewe!
Now days wadada...
Habari zenu?
Nina imani kuna wadada wa kutosha humu na wakaka pia mwaweza kunipatia dada zenu..
..ninahitaji binti mmoja tu anayejitambua na kujiamini..
Nimeshajipanga kimaisha na namuhaidi...
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa;
Awe na Umri usiopita miaka 26
Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 naitaji mke mwenye sifa zifaatazo
1.awe na umri kati ya 20-26 years
2.asiwe mnene sana
3.awe mkristu au aliye tayar kubadili dini
4.elimu angalu form four...
Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa zake:
Awe na Umri usiopita miaka 40
Awe na umbo zuri na sura ya...
Kwa aliye tayari kuwa mke anakaribishwa vigezo kama vifuatavyo.
awe na elimu atleast form four
kazi si lazima awe nayo
kabila lolote
rangi yoyote
umri 20-26yrs
Kwa aliye serious aje PM tupate...
Mimi ni MWANAUME mtu mzima naitwa ROBIE.Kwa heshima kubwa napenda kutafuta mwanamke awe mtu mzima mwenye maambukizi ya virusi vya ukimwi,awe aliyeamua kuishi maisha ya kulinda afya na ambae...
Kwa aliye tayari na seriously naomba asome vigezo hv
Awe Muislam
Awe mcha Mungu
Awe na umri 18-22
Awe na elimu kuanzia kidato cha 6 na kuendelea.
Awe muelewa na mshauri mzuri
Asiwe na stress zake...
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a...
Habari zenu wanajamvi,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.
Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati...
Habarini,
Nakuja,humu jamvin nahitaj mke, awe na Umri kati ya 20-35,awe hajaolewa,awe amejiajiri/kuajiriwa,atakayekua na mapenz ya dhat nami,awe mkristo,atakayekua tayar kuish nami mahali popote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.