Kama maada inavyojieleza. Mimi jinsia yangu ni me. Nahitaji na mwanadada msomi mpweke wa kubadilishana mawazo. Na kupeana mawazo namna ya kukabiliana na changamoto za maisha aliyetayari...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 Natafuta msichana wa kumuoa
VIGEZO
1.Awe na miaka 18~25
2.Awe tayari kuishi popote
3.Awe na heshima zake
Mwenye Vigezo Hivyo aje PM
Jamani ninatafuta mke kwa aliyeserious ili mfungo ukiisha tuje tufunge ndoa.
Masharti kama ifuatavyo
Awe muislam
Umri 18-26
Awe na upendo wa kweli
Kabila lolote
Kwa aliyeserious ani PM kwa...
Jamani wana jm naomba leo tulijadili suala hili,inakuwaje watu mlikuwa wapenzi kwa muda mrefu,lakini inapotokea uhusiana kwisha, yule anaeachwa anaanza kutoa maneno mengi ya kashifa matusi, na...
Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 28,elimu yangu ni chuo kikuu,rangi yangu mweupe kiasi,urefu ni wastani pia nina mtoto .
Mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo
aje Pm,
1.Awe na umri kuanzia 18-26...
Mambo vipi wananaMMU
Napenda nchukue wasa huu kutangaza kuwa natafuta rafiki mwana MMU wa kike,no condition and terms wote mnakaribishwa am new member by the way.
Naomba kuwasilisha.
Asante
Hi my name is Princess aged 31 looking for a serious male friend, am a single mother and i am in need of single dad so that we can make a good relationship.
Mimi ni mwanaume 31,naishi Dar.
Nahitaji binti yeyote mwenye hofu ya Mungu aliye tayari kuanza maisha ya ndoa.
Mimi ni Mweusi,mrefu,mwembamba wa wastan na mtanashati.nina elimu ya chuo na...
Mm ni kijana miaka 28 makamo niliyonayo yanatosha kuanzisha familia ivyo natafuta mchumba awe na makamo yanayoanzia miaka 24 -32 vigezo...
•Awe ana elimu kuanzia form 4
•Awe anafanya kazi yoyote...
Mimi ni kijana wa miaka 24, mfupi lakini handsome boy, girl yeyote lazma nimvutie. Nipo dar, kazi yangu ni machinga, elimu yangu fom 6. Natafuta mpenzi, uwezo wa kumgaramia elfu 20 kila wiki...
Habari zenu wanaJF,
Awali ya yote namshukuru Mungu kwa yote anayotenda kwa wanadamu wake,
Pili,shukrani zangu ziwafikie viongozi wote wa Jf kwa ujumla wao na wadau/wanajumuiya wengine wote...
Nahitaji urafiki na binti au mwanamke wa kizungu ila huwa nashindwa kuwapata kutokana na mazingira nilonayo na sina connection yoyote. Hivyo naomba mwenye uwezo anisaidie, sio kwa nia mbaya au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.