Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana mfanyakazi na nimejiajiri, naishi Tabora Mjini. Natafuta binti mrembo mwenye makalio makubwa kwaajili ya kuwa mpenzi wangu na baadae tukijaaliwa awe mke wangu. Sina mtoto na...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Am looking for a man who willing to marry me... Be a muslim age 27_30 n business man as me so that we can build our family (dm me) if ur serious
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Jamani najitokeza kutafuta rafiki wa kike wa kuweza kunisaidia kimaisha katika kutafuta pesa maana kwa sasa sina kazi nipo nipo tu.sichagui lika wala dini kikubwa tu ni mapenzi ya kweli.mi nipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari... Naitwa Richard, Humphrey nina miaka 26, naishi Tabata natafuta mwanamke atakaekuja kuwa mama watoto kama Mungu atapenda awe na sifa zifuatazo: 1. Mcha Mungu japo hata kidogo. 2...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I am Eric 25yrs naishi dar. Natafuta girlfriend ambaye atakuwa serious kuanzisha mahusiano awe - mkarimu - mrembo - asiwe na tamaa ya pesa - awe tayari Kuzaa - elimu angalau form 4 - mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wadada Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike/mchumba kwani naamini anapatikana popote pale.Sichagui kabila,dini wala elimu ila awe na umri wa miaka 28 na kuendelea na asizidi 36 Mimi nina...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
hii wana JF Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
haha....ha..ha
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari, Naitwa Frank ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 30-35. Nina kipato cha kawaida, naishi na kufanya shughuli zangu hapa Dar es Salaam. Nahitaji binti mrembo wa Kitanzania mwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu. Mimi ni kijana mtanzania, miaka zaidi ya 26. Hapa karibuni, rafiki zangu kadhaa wamepata watoto wao, na kusema ukweli ile excitement yao imenigusa mno. Mpaka umri huu, bado sina...
0 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari wana JF, Hii ni kwa sisi tunao tafuta mpenzi/mchumba/mke,Ili tutuhakikishia unacho maanisha kama sio utani na upo serious kweli ni bora uweke picha yako tukuone.Sio ma post kila siku...
3 Reactions
27 Replies
4K Views
Mini ni kijana wa miaka kama 25,26 au 27,naishi Mbeya,sina ajira ila nimemaliza degree ya kwanza ya elimu. Sifa zangu >mnene Kiasi >mweupe kiasi >sio mrefu wala sio mfupi >Mcheshi,nikiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji mwanamke ambaye yupo serious kwa ajili ya kuanziasha naye mahusiano and may be marriage in the next few years. I like somebody who is loving, caring, charming, smiling and who knows what...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaam, Hii iwafikie wanawake na wasichana wote wenye wazo na hitaji kama langu. Mimi ni mwanaume, 28 years of age, living in Mwanza. Nina kazi yangu inayoniingizia kipato na naendesha maisha...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana. Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sifa zangu kama ifuatavyo, mnyenyekevu, muislam, nina bachelor degree nina umri 25+yrs. Nahitaji mwanamke kwa aliyetayari kuolewa, awe na sifa zifuatazo Awe muislam. Awe na elimu ya kuanzia form...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani nimechoka kuwa mpweke Nina miaka miwili nipo single;so nahitaji msichana mwenye mapenzi ya dhati; umri kati ya miaka 20 mpka 25;
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Mamb zen, nipo hap kwa kumtafuta kibabu cha umri kuazia miaka 80 mpk 100, natak chakuenjoy nae sikukuu yavEid tu, aliyotayr aniPM
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume naishi dar nimeajiriwa na taasisi ndogo ya fedha dar,natafuta mchumba ambaye yupo serious mwenye vigezo vifutavyo 1.awe mkisto 2.awe mrefu wastani na mnene...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume;naishi dar nafanya kazi taasisi moja ya kifedha hapa jijini dar,nafuta mchumba ambaye yupo seriousy takakae kuja funga naye pingu za maisha Vigezo Awe mweusi na mnene...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom