Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hello, natafuta rafiki a.k. a lover,,,, Nina umri wa miaka 23 am currently working anyone. go for PM
1 Reactions
2 Replies
874 Views
Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote. Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo; Rangi yoyote. maziwa yawe sio makubwa au...
0 Reactions
35 Replies
9K Views
asanteni nimekamilisha kukusanya data zangu[emoji120]
2 Reactions
70 Replies
15K Views
Natumai mu wazima kabisa. Nilileta uzi wangu hapa wa kupata mume mwenye hitaji, lakini mpaka sasa bado sijapata mwenye upendo wa kweli. Awe na umri kati ya 34-40. Karibu pm
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi mwanaume mtu mzima umri wangu kati ya miaka 45-50 Natafuta mke nina upungufu wa nguvu za kiume na nina uume mdogo kwa mwanamke anayejali tuwasiliane kwa 0714560515 au email adress...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwa kweli kuna watu wanaharibu maana nzima ya love connect ni bora mtuachie jukwaa haiingii akilini kuona kuwa mtu anafanya haya; 1. Ukitafutwa pm hujibu meseji. 2. Ukitoa namba inakuwa ya mtu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nina mpenzi wangu ananizidi umri kama miaka 6 ivi, yeye anamafanikio mazuri tu ambayo yanaweza kumuingizia kipato. lakini mi ndo ivyo xina kazi yoyote, xaxa kila napompigia cm hapokei na hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa ni yule anayependa kuchat mostly. Anaweza ku-pm
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Habari zenu, Mimi sifa zangu kama ifuatavyo nina degree ya kwanza ya sayansi, ni muislam nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo. Awe muislam Awe angalau ameishia form iv na kuendelea pia awe...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Looking for friend to chat with
0 Reactions
8 Replies
790 Views
Mimi ni Mwanaume Umri: Miaka 29 Elimu: Degree Kazi: Employed Dini: Mkristo Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni Mwanaume Umri: Miaka 30 Elimu: Degree Kazi: Employed Dini: Mkristo Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu akijaalia...
0 Reactions
2 Replies
862 Views
Hello, Naamini mwenza anaweza patikana popote na humu pia naamini wapo walio serious na uhitaji wa kweli. Mimi ni msichana, umri wangu 27, mkristo na black in colour Kama Mungu atapenda...
30 Reactions
157 Replies
22K Views
Hello WanaJF, Natafuta mwanamke aliye 'serious' na mahusiano ya kweli atakekuwa mke wangu. muonekano 'natural beauty',mkweli, mcha Mungu, umri usizidi miaka 26, elimu angalau kidato cha nne...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari inavyojieleza. Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimeajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa mjini. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuishi katika na kutimiza wajibu wake...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mimi ni kijana wa kiume(25). Ndo kwanza nmemaliza Chuo. Sijawahi kuwa na serious relationship. Kwa sasa sina kipato cha uhakika. Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi ni jinsia ya me, Elimu yangu ni shahada ya kwanza, Kazi yangu ni ujasiriamali, Umriwangu 33 yrs, Nahitaji msichana awe na: Umri kati ya 23-27, Elimu isipungue ngazi ya cheti. Asiwe na mtoto...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Wasalaam nyoote, Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu kutupa hai mpaka leo hii bila kujali wema au ubaya wetu. Dunia imebadilika sana na hakika mwendokasi unachukua mkondo wake katika...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Ndio hivyo, sijampata mchumba niliyekuwa namtaka ila nimepata marafiki, nashukuru na asante JamiiForums
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Mimi ni Mwanaume Umri: Miaka 28 Elimu: Degree Kazi: Employed Dini: Mkristo Kwa ufupi natafuta msichana alie single but awe anajitambua, elimu yoyote. . Tukikubaliana na kuelewana Mungu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom