Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Nadhani topic iko wazi mimi ni mzanzibar mwenye asili kiarabu miaka yangu 37 nina mke moja elimu form four kazi fundi wa simu nimrefu maji wa kunde mnene kidogo. Sifa za mke ninae mtaka ni awe...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Wanajamii Foram mimi nina mke ni mjamzito wa miezi nane, sasa huyu mwanamke kabla hajawa mjamzito n mvivu sana na anadeka kupitiliza yaani inakuwa kero mpaka nikienda kazini natamani nisirudi home...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Awe mfupi, mwembamba, mwenye gubu, anayeweza kubeba mizigo kwenye bodaboda.
1 Reactions
2 Replies
709 Views
Mimi nimtu mzima miaka yangu 37 ninamke na Zanzibar elimu form four kazi fundi wa simu, ninahitaji mke huko mainland au Tanzania bara awe muislam ana swali bila kuhimizwa, awe mrefu mwembamba...
2 Reactions
6 Replies
973 Views
  • Closed
Nina miaka 29.. Natafuta Mume aliye serious na mwenye hofu na Mungu ..awe Mkristo umri kuanzia miaka 30-35. Sipo kwaajili ya kujaribiwa...kazi yoyote ili mradi iwe halali. Aliye tayari anipm.
3 Reactions
41 Replies
3K Views
Kichwa cha habari kimejitosheleza, natafuta Mme Mtu mzima, umri 45 - 55.
1 Reactions
55 Replies
11K Views
Salàam
9 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu, Mimi ni mwanaume ambaye nimekata tamaa. Maisha ya kuwa single yamenichosha na kila nikitafuta mpenzi hakai sana bali ananiacha na kwenda zako. Nipo vizuri kustahili kupata...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninahitaji mke aliye serious mm ni mwajiriwa serikali elimu yake kuanzia form 4 na kuendelea awe tayari kupima afya awe mkristo atokee Mkoa wowote kabila lolote awe na umri wa miaka 18-23umri...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Mimi ni mwanamke mwenye miaka 47. Nina watoto watatu. Ninaishi Dar es Salaam. Ninahitaji kumpata mwanamume ambaye ana mapenzi ya dhati hasa uaminifu. Sihitaji kuolewa au niseme kuishi na...
22 Reactions
413 Replies
37K Views
Wakuu, Mtakumbuka hivi juzi nilipost uzi kuwa namtafuta Eva wangu. Mungu sio Juma Nature, nimepata!! Nilikuwa creative kwenye Post yangu ili nistand out, nisijumuishwe kwenye wahuni wanaotafuta...
12 Reactions
51 Replies
6K Views
PM au nicheck kwenye hii mail: Meu760@gmail.com
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Mimi ni mtanzania niliyobahatika kuwa mwajiriwa wa serikalini nahitaji mwenza wa kuoana nae kuanzia miaka 18 - 40 sibagui dini wala kabila aliyetayari awetayari kupima VVU, naomba aliyetayari anipm.
2 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wana JamiiForums, Leo nimeamua kujitokeza kwenu kutafuta mchumba wa kiume (mume). Mwanaume nimtakaye ni awe na miaka kuanzia 30 mpaka 35 awe anaishi mkoani Kilimanjaro au Arusha, awe...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna wimbo nilishawahi kusikia mwana jf anauulizia unaosema ""sina demu, kama unavyoniona mpz ndio maana ninekuchagua wewe malkia wangu.. Sio kwamba mimi sitaki demu ila sijamwona mwenye sifa na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Ndugu zanguni wanaJF najitokeza hapa kwa Mara nyingine! Mm natafta mchumba/ mke, Elimu yangu ni degree na nina miaka 29. Kwa sasa nipo mtaani nahangaika na maisha, sijaajiriwa ila sijachoka bado...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwa ufupi kabisa, natafuta girl anayefanya kazi Dar city centre na anatumia public transport. Awe kati ya 20 to 26 years old, asiwe mnene au mfupi. Nahitaji kampani yake kwenye foleni za jiji hili...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mimi ni msichana wa miaka 24 nipo chuo kwa sasa, natafuta mchumba awe na kazi yake ila siyo mwalimu asiwe mfupi wala mrefu mengine tutawasiliana baada ya kufahamiana. Karibu PM
1 Reactions
69 Replies
8K Views
SIFA ZAKE:Awe na umri kati ya 18------24,anaejitambua BINAFSI:mm ni mwanachuo na mjasiliamali MWONEKANO:mref ,rang brown af slim kiaina. Yoyote mwenye sifa hizo anakaribishwa Ncheki kptia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau habari zenu, Natafuta mchumba ili baadae aje awe mke, awe na umri wa miaka 22-27, awe angalau amemaliza form 4 (sababu hapa ni kuwa huyu pamoja na kuwa mchumba/mke atakuwa mshauri wangu au...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom