Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 31, degree holder and good looking. Niko hapa kutafuta binti wa kitanzania mwenye umri usiozidi miaka 31 ambaye yuko tayari kwa long term relationship kabila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
======== Update; Nimempata nililiyekuwa namtafuta.
1 Reactions
24 Replies
4K Views
sifa za mwanamke anatokea mikoa ya kaskazini hajawai kuolewa hana mtoto miaka 31-35 elimu ya chuo mfanyakazi anaishi kwa wazazi mume awe muislam swala tano mkoa wowote isipokuwa iringa mbeya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Npo dara alie tyar anitafute kw maelewano zaid.
0 Reactions
9 Replies
755 Views
Mimi ni kijana wa kiume, natafuta mwanamke wa ku hang out nae awe na miaka kati ya 22-28, mimi nina miaka 33. Kwa atakaekuwa interested ana pm.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Guys! Am searching for a lady who enjoying doing se.x to hook up together,a lady should also like dirty chat and many se.x games,free to express herself on what she needs. Terms: Its not a...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Mimi ni Joseph natafuta mke wa kuowa kwanzia miaka 20_25)sichagui dini wala kabila nazani mengine tutafaamia vizuri number ya sm ni 0765584448
2 Reactions
26 Replies
7K Views
Assalam aleykum wanabody, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu mwanzoni mwa mwezi huu nilitoa bandiko la kutafuta mke wa kiislam hapa japo nilipata pm kadhaa lakini hakuna aliyekua...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa 26ys. Naishi Dar natafuta mwanamke wa kuishi nae awe mkweli na mwaminifu, kabila lolote, dini yoyote. Vigezo na masharti vitazingatiwa. Karbu PM kwa maelezo zaidi.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Watu wawili hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana. Nipo katika kutafuta wakutimiza nae hatua ya pili kati ya tatu muhimu ambazo ni kuzaliwa kuoa au kuolewa na ya mwisho ni kuondoka duniani...
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Nimekuja mapumziko ya weekend nafafuta kampani jinsia kike. PM me
0 Reactions
3 Replies
783 Views
Natafuta rafiki jinsia zote me na ke,wa kunipa kampani na kunitembeza kuongea nae hapa mjini Iringa nipo mpweke sana sina rafiki sehemu napokaa.embu tufahamiane na kutembezana hapa mjini wakuuwa...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Wana MMU habarini za J4, ndugu zanguni nimekuja humu kwa sababu moja kuu tu.Natafta rafiki wa kike(mchumba) ikimpendeza bwana aje awe mama watoto! Mtu huyu awe na miaka isiyozidi 27 na awe tayari...
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Mimi ni kijana wa miaka 34 natafuta msichana wa kuoa niko Kigoma sifa awe na nidhamu na mcha Mungu na awe maji ya kunde au mweupe awe na nyama nyama na siyo kimbau mbau..... Aje in box.....
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Am above 40 yrs, natafuta rafiki / mpenzi mwenye hofu na Mungu, mjasriamali au mfanyakazi anayejitoshereza na kujiheshimu, umri up to 35 yrs yeyote alie tayari kuanza huu urafiki...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndg wana JF, Habari za jioni! Kama ilivyo title hapo juu. Kwa kunifahamu zaidi nina umri wa miaka 21, ni mmasai, nina shahada ya masomo ya sayansi (chem&maths) ni mkristu kwa hayo machache...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
mim ni msichana mwenye umri wa27 nahitaji mwanaume mwenye hali kama yang ili tuanzishe familia naomba mwanaume yoyote aliyetayar ila asiwe tegemez coz mim pia nmwajiriwa wakipato cha kati meng...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nina miaka 24, naishi Morogoro, hasa Mzumbe, nipo mwaka wa pili chuo, nahitaji kuwa na mahusiano na msichana yeyote atakayejisikia kuwa nahitaji kuwa na mtu wa kumpenda na kuwa future nae. Sina...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi, I'm a man ageing between 23-26 years old and 178 cm tall. I'm currently a student at a certain institute here in Dar. I would like to meet my life partner ageing 18-25 years old, I would...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa jina naitwa Jonathani nipo Geita, kazi yangu mkulima. Natafuta mke wa kuoa awe mcha Mungu mwenye elimu kuanzia form 4 na kuendelea mrefu kuanzia futi 6.5 nakuendelea maji ya kunde au mweupe...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom