Mimi kijana miaka 32 elimu yangu ni masters level.Natafuta binti wa kuoa kuanzia miaka 22-26.
Awe muislam mwenye kujitambua kuanzia mavazi nk.Awe na elimu yake awe na shahada ya ualimu, nursing...
Habari za asubuhi wana jamii,
Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo...
Habari za usiku,
Mimi ni mwanaume miaka yangu 36, naishi Dar es Salaam ukweli nina familia ya watoto watatu. Mmoja alizaliwa kabla sijaoa,na ana miaka 13 anamaliza darasa la saba mwaka huu huko...
Natafuta mwenza (mke) umri miaka 25 - 35 mwenye kujielewa , elimu kidato cha nne na kuendelea,dini yoyote.
umri wangu ni miaka 35
elimu digrii
kazi ni mjasiliamali
naishi Dar
kwa aliye tayari...
Habar wanajamvi,nahitaj marafik wa kubadilishana nao mawazo ya kimaisha ya kila cku jinsia zote.karibun sana aliye tayar anichek kwa email: josephsadock2@gmail.com
Natafuta mwanamke aliye tayari kuolewa . Awe na sifa zifutazo:
1.Awe anaishi Arusha au anafanya kazi Arusha.
2. Awe mcha Mungu(Mlokole atapewa kipaumbele.
3.Awe na kazi ya kueleweka(Mwalimu...
Habari zenu wanaJF, Rejea kichwa tajwa hapo juu.
Nipo hapa kutafuta rafiki wa kike Umri 30 - 39 kwa ajili ya urafiki na kubadilishana mawazo.
Aliye tayari aniPM, ili tuanze urafiki huo haraka...
Polen wana jukwaa hili la love connect....
Mm ni kijana mwenye umr wa miaka 24
Nimejitokeza hapa kutafuta mchumba
Sifa za mwanamke nimtakae...
Awe mrefu wastan
Rangi yoyote
Asiwe mlevi
Elimu...
Natafuta mwanamke mwenye maambukizi ya virusi vya UKIMWI awe mke wangu wa maisha! Mimi ni mwanaume mwenye miaka 48 sina ubaguzi wala masharti,mwenye nia ya dhati naomba tuwasiliane kwa contacts...
Hi wapendwa,
Natafuta mwanaume mwenye sifa zifuatazo; Awe muislam, umri miaka 23-35, awe anafanya kazi na mwenye mapenzi ya kweli na si kudanganyana.
Mwenye sifa hizo anifollow pm
Natumaini ya kua hamjambo jioni hii.
Wapendwa katika Bwana leo ni siku ya pili nimekua nikiota ya kua niatapata mke mwema kupitia jukwaa hili. Mimi ni kijana wa kiume miaka 29 mkristo, naomba...
Wakuu asalam aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ni muda mrefu hawa watoto wa kinyarwanda wamekua wakichanganya mtima wangu. Yaan nikiwaona roho yangu...
Habari zenu ndugu zangu..nahitaji mtu wa kushauriana ktk masuala ya kutafuta maendeleo iwe biashara ..kilimo au utoaji huduma halali ambayo itatuingizia kipato..mm niko kny age of 40s..ni...
Natafuta mwanamke, sifa:
1. Awe mzuri au mzuri kiasi
2. Asiwe mke au mme wa mtu
3. Awe hajawahi kuolewa au kufanywa mchepuko, kama ana bikira ni added advantage
4. Awe na tabia nzuri
5. Awe...
Binti ambaye upo kiwanja hasa DMV area na upo tayari kwa mahusiano mbayo yatazaa ndoa ni pm. Uwe chini ya miaka 30. Mwislamu au upotayari kuingia uislamu. Mambo mengine tutaongea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.