Nataraji sna mtakuwa wazima wa afya na hali njema nami nimejitokeza tena kutafuta mwenza wa kike awe muslim.ili inshallah tuanze maisha pamoja kwa uwezo wake manan biidhinlllah taalah inshalaaha...
Hamjambo wana jg nami nimejitokeza kutafuta mwenza wa kike naomba nisisitize wa kike maana kuna watu sijui hawafaham au hawaelewi atakupigia simu mtu nimeona text ktk jf unatafuta mwenza sawa...
Mimi niki kijana mwenye umri wa miaka 26 naishi mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu full aina ya vyakula pande izi
Nataufuta binti wa kuoa aliyeko mahali popote katika Tanzania hii
Kama uko tayari...
Nihitaji mwanamke wa kuowa, Mimi ni kijana wa kiume nimeajiliwa katika kampuni moja ya fedha hapa Dar, mashart awe mweusi, mnene wastani na mrefu wakati, elimu haijalishi na awe tayari kwenda...
Habar! Wanajamii forum ni iman yangu kuwa hamjambo.
Naitwa ibrahim mm ni mwalim mwalim wa shule ya msingi nimeanza kazi mwaka jana....umri wangu ni miaka 25.
Natafuta mchumba wa kuoa mwenye sifa...
Habari wana JF! Kifupi tu natafuta mke. Imani yangu ni kuwa mahusiano yanaweza anzia popote na kujengwa kama kuna nia ya dhati.
Natambua wako watakao beza post hii lakini si matarajio yangu.
Kwa...
Natafuta marafiki wa kike wa kuchat nao na kubadilishana mawazo umri kuanzia miaka 18-30 bila kujali elimu cha msingi ni kubadilishana mawazo kama yatakuja mengine ni baada ya kufahamiana, kwa...
Mimi ni mwanaume mtu mzima umri wangu ni miaka kati ya 45 na 50 natafuta rafiki mwanamke(kampani) nitakae kwenda nae ktk ukumbi wa Harusi Hapa Dar es salaam siku ya IJUMAA TAREHE 4/11/2015...
Habari wana jf, Mimi ni kijana wa kiume nafanya Kazi katika company moja ya kifedha, nahitaji mchumba wa kuowa v igezo awe mweusi, Mnene wa Kati na siyo mrefu sana dini na elimu haijalishi ili...
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa kiume nahitaji mke wa kuowa mwenye sifa zifuatazo,
Mweusi na mrefu wastani na unene wa kati.
Elimu haijalishi na awe tayari kwenda kupima UKIMWI kabla ya...
Naingia jukwaa hili nikiwasilisha hitaji langu la muhimu, natanguliza shukrani zangu za dhati kwa waanzirishi wa jukwaa hili,wametupafanya tupate pa kusemea.
Naamini mke au mume anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.