Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanaume ila napenda kuwa na marafiki wa jinsia ya kike niwe ninabadirishana nao mawazo, ushauri kuhusu mambo ya kijamii na mambo mengine mengi kadri yanavyotokea katika jamii yetu.
0 Reactions
0 Replies
997 Views
Nlikua sijali kuhusu dini but I come to realize swala la udini bado lipo kwenye vichwa vya wasichana wengi. Nmekuwa na waschana wa kikristu coz wengi hufikiri mimi mkristu ila pale tunaposet...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natafu mchumba yeyote ambaye si mwenye miaka 23 na kuendelea juu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habbari zenu humu jamvini,mie ni kijana wa kiume najitokeza humu kumtafuta bint/msichana ambaye nitaweza kumuoa ili tuweze kuliendeleza kurudumu hili la maisha,Vigezo vyangu mimi kwanza awe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naitwa Jeff naitaj msicha awe n miaka 23 na modo sura sio ishu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
thread nyingi zinazoletwa humu ni za wanaume wakisaka wanawake, na zimekuwa hazipewi kipaumbele kabisa na walengwa, yaani wanawake. Hii ina maana kuwa wanawake humu wana watu wao sana.. Ila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25 niliehitim chuo mwaka jana. Natafuta mwanamke ambae yupo tayari kuoana, awe na umri wa miaka 20-30 sna ubaguzi wa rangi, dini, wala kabila, karibu sana japo...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Wana Jf, Kuna dada ameonekana uchumi supermarket quality centre nina ujumbe wake muhimu sana nadhani anamiliki gari 'nadia ' maroon number T688 BVN naomba mwenye kumfahamu yeye au hii gari...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 24, Kabila ni Mbena, Dini ni mkristo, Natafuta mpenzi sibagui dini,rangi wala kabila..aliyeguswa anicheki katika 0758581857.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Umri miaka isizidi 24 lakini inaweza pungua. Mimi ni 30. Aliye tayari anipm kwa maelezo zaidi -
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hi,j JF member. Mimi ni mwanaume natafuta rafiki wa kike baadae awe mke wa kuoa nitaeishi nae kwa miaka yote.Awe mtiifu,mkweli mwenye mapenzi ya dhati. Karibuni sana ni Pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae. Awe na elim ya kawaida at least form four na kuendelea. mimi nipo chuo mwaka wa kwanza. nawakaribisha wote
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mim ni Me nipo Dar, nahitaji binti mwenye kujitambua tuwe marafiki wa karibu na baada ya kufahamiana awe mke.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu hawako serous so Imetosha. Thanx
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha. - Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi - Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na...
2 Reactions
88 Replies
11K Views
Nahitaji mchumba aliyeserious na maisha na aliyekua na kuacha utoto,anasa na kufocus na maisha Hata kama ni jobles ntafungua biashara asimamie. Age 22-26 Asiwe mnywaji wa kilev chochote pls Mimi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nipo Dar hata kwa marafiki wa mikoani mnakaribiswa wa jinsia zote ni pm tupeane namba.
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Hi Jf. A man aging 30, Iam looking for my Eva who will marry me. Welcome for more information.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iam 24years old. Na sababu iliyonifanya nitafute mwanamke aliyenizidi umri ni kuwa hawa wanawake ambao ni rika langu wamekuwa hawajui kujali, kuthamini na hata hawana upendo wa kweli. Ninahitaji...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom