Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Habari wadau wa Jf, Mimi ni mwanaume natafuta marafiki wakubadirishana mawazo, sina ubaguzi wowote. Karibuni sana.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Natumaini hamjambo wana jamvi, kuwepo humu ndani fursa ya kufahamiana pia ili kutengeneza upendo na amani zaidi katika jamii yetu kwa njia ya urafiki, karibuni wadada kwa urafiki, nifikishie...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hello. Mimi ni kijana wa elimu. Nina degree moja sasa. Nahitaji mwanamke, awe tayari kupendwa, na yeye apende pia. Kulazimisha mapenzi hapa kwangu hapana. Nitazingatia sana afya, usiwe na STD...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Natafuta mke aliyetayari kuabudu mitume wote kwani mimi naamini dini zote ni sawa na binadamu wote ni sawa. Siku ya ijumaa niko tayari/awe tayari kwenda msikitini na siku ya...
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Mimi ni kijana wa kiume mkristo mwenye umri wa miaka 30 ni mtumishi wa serikali. Natafuta mchumba atakayekuwa mke mwema kwangu. Awe kabila lolote Tanzania, dini mkristo dhehebu lolote. Umri miaka...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi, Nimejitokeza humu kutafuta mchumba kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Lengo langu ni kumpata Mwanamke ambaye atanifaa mimi kwa kuamini kuwa mchumba...
0 Reactions
0 Replies
825 Views
kichina
0 Reactions
1 Replies
944 Views
Habari zenu jamani, Napenda sana marafiki wa kuchart nao na kubadilishana mawazo ya maendeleo ili maisha yasonge.. walonizidi umri watanifaa zaidi, umri wang miaka 24 Karibuni
0 Reactions
11 Replies
1K Views
natafuta mke, baadhi ya sifa ; 1.awe mweusi. 2.Mpenda maendeleo. 3.Asiyekunywa pombe. 4.Asiyevuta sigara. 5.Asiwe mtu wa kujirusha kila weekend kwakifupi asiendekeze starehe. 6.Ajue wajibu wake...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Awe Muislam, asizidi miaka 28. Aliye tayari aje PM kwa mawasiliano zaidi. Elimu yangu ni ya Chuo Kikuu, pia nimeajiriwa serikalini.
0 Reactions
0 Replies
636 Views
za mda huu jamani... ctaki kuwa na maneno mengi ila ninaanisha.nahitaji mpz wa kike na sio kupotezeana mda nae awe anamaanisha.... 0688600155
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari zenu natafuta mume awe na umri wa miaka 30 kuanzia apo
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Natafuta mama friend mm aged 35
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Deleted!!
0 Reactions
0 Replies
705 Views
For chat, social drinking and hangout. Age 22 - 30, clean and sound mind. At least a diploma. Tall. Preferably 1 or 8 but not 0. Must have a smartphone and not a friend with dala dala. Non...
0 Reactions
2 Replies
710 Views
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza..rafiki wa kike namuhitaji ambaye kesho atakuwa mke kwangu...awe muslim,elimu ya aina yeyote,awe mweupe ama maji ya kunde,mnene kiasi kuanzia,umri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Already got ma serious one!he is a long tym friend of mine not from jf and its almost a month now am in a serious relationship!no more replies,no more pm's!! Thank u all!!
8 Reactions
114 Replies
14K Views
.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wanajf. Nahitaji mwanamke umri kati ya 30~34. Elimu yake chuo, aweamejiajiri au kuajiriwa.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom