Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jinsia yangu: mwanaume Natafuta mchumba wa kike Lengo: Kuoana kama tukiridhiana Umri wake : Asizidi miaka 25 Mwonekano wake: umbo la wastani, ( asiwe mnene sana au mwembamba sana) Elimu yake...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Awe mwislam
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Miaka yangu 24,natafuta NTU ambae ana sifa yeyote apo juu Kama mwanamke awe mchumba au hata urafiki wa kawaida Kama Me awe rafiki wa kawaida wa kushare experience za maisha.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Aisee kati ya mabinti walio kwenye ndoto yangu ni wa asili ya kinyarwanda au wanyawezi,sijui kwa sababu nimekaa maeneo hayo nakuwaona,sijui
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hi wanajf naitwa richard najitokeza kwenu nikitafuta mwanamke mwenye upendo wa kweli umri wangu ni miaka 25 naishi dar kwa aliyetayari tuwasiliane 0657-651602.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
hi mambo kwa jina naitwa swabrina an 20 yrs old. napenda kuwa shukuru watu wote humu jamii forum. kikubwa ni kwamba natafut marafiki wa kuchat nao sijali.wa kike am wa kiume. km utakuwa mmoj...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Jamani eee!!, Nimefikiria sana kwa undani nimeona nije humu jamvini kutangaza kwamba sasa natafuta Mchumba ili aje awe mke wangu mungu akipenda, maana maisha ya ukapera na ubachela yamenichosha...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Mm ni kijana mwenye kujitambua na nina akili timamu sijakurupuka kuandika tangazo hili. Ki ukweli natafuta mchumba jinsia ya kike ambaye ana umri kuanzia 20-28 mwenye nia ya kuanzisha mahusiano...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
ZA JIONI WADAU. NAJUA KUA WANAUME WENGI SIKU IZI HAWATAKI WANAWAKE BIKIRA, KWAIYO HII NI KWA WALE TU WANAOHITAJI MKE BIKIRA. Sifa zangu, miaka 27, nina kazi inayoniingizia kipato, mkristo...
3 Reactions
70 Replies
18K Views
Mimi kijana wa umri wa miaka 25 natafuta mwanamke wa kuoa umri miaka 20-25 asiwe mnene sana au mwembamba sana ,angalau 4m 4 na kuendelea mimi ni 4m 4 nafanya biashara nipo dodoma ,contact me...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni kijana umri 29 binafsi natafuta Rafiki Wa like ambaye tunaweza Fanya maisha pamoja sibagui dini ranging wala kabila binafsi naamini kuwa kazi sio mahusiano Bali mahusiano usaidia kuleta...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Nina miaka 29 natafuta mke awe mcha mungu,awe anajitambua na mkristu, aliye kanda ya ziwa ntampa kipa umbele zaidi. awe na umri kuanzia miaka 20-27, elimu kuanzia form four. Alie tayari atume...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mke
Nimechoka kuwa mpweke muda mrefu .sasa natafuta wife. Niche inbox tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Educated from diploma to degree level,serious you want marriage,u have a good vision of what u want in marriage,u like to create ur family!!!u have a good shape!! .job or jobless!!!.here lm ur man...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Mimi ni kijana wa miaka 23 niko chuo degree mwaka wa 3 Dar es Salaam. Niko single na ninatafuta mpenzi wa kuwa nae kwenye mahusiano.Aliyetayari ani PM kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 28,elimu yangu ni Masters. Natafuta rafiki wa kike.Aliye tayari anipm kwa mawasiliano zaidi.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Bata batani kama kawaida yng,ni Pm twende sawa ila kama upo Shinyanga au Mwanza. Karibuni warembo,msihofu kuhusu mtonyo Boy nipo Shy Town
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ni kwaajili ya kubadilishana mawazo katika story mbali mbali za kimaisha,mapenzi na mengine mengi umli kuanzia 18 na kuendelea nicheki Facebook king suley Whatsapp no 0782498431.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello strangers Nilikua mahabusu kwa zaidi ya mwezi kutokana na masahibu yaliyonikuta,nimepoteza mpenzi,pesa na mambo kibao but bado na hustle. Umri wangu ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Closed
I need serious female escort to trip with to Iringa from Dsm and round trip as well, awe aged 20-27 and in case una bwana wako please ask permission usije ukaachwa bure!! kwa tamaa ya 1 week...
0 Reactions
1 Replies
805 Views
Back
Top Bottom