Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mm ni mtanzania nisiye na makuu naitaji mwenza kma maandiko yavyosema mwanamke atamuacha mamaye na babaye na kuambatana na mumewe wawe kitu kimoja cbagui dini wala kabira umri kuanzia miaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mi ni kijana age 25! Natafuta mpenzi age 18-30
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hi! I'm 20 years of age looking for a lady to mingle
0 Reactions
3 Replies
742 Views
Mm ni me.ni miaka 2 imepita tangu niachwe na aliyekuwa mke wangu .sasa nahitaji mke .elimu yangu ni FTC in electrical.mwajiriwa .miaka 42.naishi Dar dini mkristu.ninayemtaka.dini yeyote umri max...
0 Reactions
1 Replies
801 Views
Hi Ladies, Natafuta rafiki wa kike/mpenzi tuwe kwenye mahusiano na baaade ndoa Mungu akibariki. Awe tayari kunipa mapenzi yake yote nami nipo tayari kumuhudumia ipasavyo kama mwanamke wangu,na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nahitaji mwanadada tokea dar anayejielewa, mchapakazi na mpenda maendeleo mwenye changamoto za maisha age kuanzia 20 up to 24 and mwenye true love kama uko tayari ni pm au 0755091728. Asante
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Mm ni kijana miaka30,nahitaji mpenz/mchumba wa kike mwenye miaka 30-37 awe na elimu ya masters/phd. Vigezo vya kimaumbile na kimuonekano havitazingatiwa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kama wewe ni mwanamke uliye serious, na unatafuta mume niPM. Vigezo na mambo mengine tutazungumza private. kama hupo serious ipotezee.
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika, Jinsia yangu ni mwanaume urefu wastani rangi ya kunde na mail wa wastani sio mnene wala mwembamba elimu chuo kikuu kazi serikalini dini Mkristo, lugha nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ni binti mrembo upo Arusha PM me then tutajadili kitu me na wewe.Umri 18-25,it is in good concern don't fear anythn
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Nimepata transfer ya kikazi mkoani Mwanza mi kwa asili yangu ni mgumu sana kutengeneza marafiki sababu ni mkimya hivyo kwa wenyeji hapa Mwanza jinsia zote ukiwa kijana wa -32 ni vizur zaidi...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Kama wewe ni girl age 18-35 na unaitaji mahusioni ya kweli na dhati kutoka kwa mwanaume atakayekujari,kupenda na kukupatia matunzo yote muhimu tafadhar ni PM.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
mimi ni mvulana wa miaka 23, sasa niko chuo namalizia mwaka wa tatu, na natafuta msichana ambaye tutaku pamoja as friends na if God wishes tuwe loers. my qualities: urefu: 150 cm rangi: maji ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni single,elimu yangu shahada,sina kazi napatikana Dar umri miaka 28,natafuta mpenzi wa kike,umri miaka kuanzia 23-26, elimu kuanzia kidato cha nne mpaka chuo. Kama upo tiari chukua namba...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Mimi ni kijana umri miaka 23, elimu yangu ni ya chuo kikuu. Natafuta rafiki wa kike mwenye MALENGO na MSIMAMO ambaye tunaweza kubadilishana mawazo, kupanga maisha na baadae MUNGU akijalia tuweze...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza namshukuru mungu kwa kunipa uhai kwa siku ya leo. Kimsingi niko hapa kuwaunganisha watu wanaotafuta WACHUMBA. Nimeamua kufanya hivi kwani hitaji la watu ni kubwa humu JF ila kunawatu...
1 Reactions
50 Replies
23K Views
nahitaji mke wa kufunga nae ndoa, awe na umri kati ya miaka 23-28, awe muslim anaemuogopa Mungu, awe anajitambua, anaejua thamani ya ndoa n.k.... niPM utajibiwa haraka NB. kabila yoyote
0 Reactions
0 Replies
790 Views
....mimi ni kijana(ME) umri 23 years, nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta rafiki wa kike ili tushirikiane katika mambo mbalimbali na hata baadae kuoana kama ikiwezekana.....umri uwe kati ya...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
kwa mara nyingine najitokeza hapa... Natafuta rafiki wa kike ambaye ni mkristo mchaji na mwenye hofu ya Mungu ndani yake. Asizidi miaka 27, asiwe mfupi. kwa aliye serious anipm ... kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
630 Views
Nahitaji mwanamke ambaye tayali ni mtu mzima na pia awe mnene, mkweli, muwazi na mwenye upendo wa dhati pia awe na kazi. Naomba kama yupo ani PM au anitumie email hapa imani.mangowi@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
849 Views
Back
Top Bottom