Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hi, Mdada wa miaka 20-25 ajitokeze haraka,kama vigezo vitatosha tuwe marafiki,wapenzi na hatimaye ndoa.. SIFA ZAKE 1.Awe mzuri 2.Awe mzuri 3.Awe mzuri 4.Elimu yoyote.. 5.Asiwe mfupi na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niahitaji Msichana mrembo kiasi.. Mwenye umri kuanzia 22 hadi 26 Mwenye shahada either ya bachelor of science in medicine, civil and electric and Mechanical engineering, computer science...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
natafuta mchumba,mim ni bint wa miaka 29,ni mnene,natafuta mume wa kabila lolote,kwa aliye tayar kuwa baba wa watoto wangu.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
mimi ni kijana wa kiume, nina miaka 22, natafuta marafiki wa jinsia zote kwa ajili ya kupeana challenge katika maisha, nipo chuo kikuu, kama upo interested nipm ili tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
547 Views
helow wakina mlio single njooni tuzungumze juu ya maisha na namna yakujikwamua kimaisha weka Watsap number
0 Reactions
0 Replies
817 Views
gggggggggggg
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello Ladies, hi. Natafuta mwanamke mrembo anayejitambua na ambaye yupo tayari Kuishi maisha ya ndoa not wasting my time. Awe mrembo - presentable FIGURE, umri usizidi miaka 27, awe anajitambua ...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Rafiki woote wa kike... Tuchatt tufahamiane na Tubadilishane mawazo, Naihisi huu urafikii unawezaa ukaniwezesha kupata Mpenzi wa kike, so ni PM usizidi miaka 22
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta mwanamke mnene, mkweli, muwazi na mpole. 0655191544
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Maandiko: Mwanzo 2: 7, 15, 18- 23; 29: 1-30 Yaliyomo: 01. Utangulizi 02. Chanzo cha ndoa 03. Kusudi la ndoa 04. Njia za kupata mume au mke sahihi ( chaguo lako ) 05. Utajuaje huyu ni...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji mwanamke mnene au bonge mkweli, muwazi na mpole. Umri wowote ila asiwe mzee please. 0655191544
0 Reactions
1 Replies
985 Views
Wadau, Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN. Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo...
8 Reactions
92 Replies
11K Views
Dini, kabila lako na unayemtafuta pia umri njoo pm tuongee
0 Reactions
1 Replies
842 Views
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24, urefu 165cm, maji ya kunde, mwili wa wastan, mkristo, elimu yangu kdato cha 6 nimejiajir, naish Dar es salaam Natafuta marafik umri kuanzia miaka 20-30...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI VIGEZO NIMTAKAE 1.above 28 2.single 3.awe...
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Umri wangu ni miaka 45 natafuta mwanamke wa kuishi nae umri kuanzia 30-36 kwa upande wa uchumi ..maisha yangu ni daraja la kati zaidi najishughurisha na kilimo ..napendelea awe mkristo hasa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu, Natafuta rafiki.Rafiki ambaye tunaweza badilishana uzoefu katika maisha na ikiwezekana maisha yetu yote tuwe pamoja katika kushauriana kuhusu maisha kiujumla.Atakayekuwa tayari anitwangie...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
habar nahtj mwanamke awe mzur na mrembo,model. Elimu from diploma to bachelor degree,age:18-25,awe virgin,mkristo,asiwe mfupi wala mnene. Kabila lolote. Aliye tayar anipm
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Dini mkristo, umri kati ya 21 na 29, elimu angalau kidato cha nne zaidi ya hapo ni vizuri zaidi awe mwelewa. Mimi Nina miaka 34, mtumishi serikalini pia mjasiliamali nimeoa. Alie tayari tuwasiliane
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina itaji mwanamke miaka28 na kuendelea niweze kuzaa nae Mtoto mmoja njoo pm
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom