Mwanaume mwaminifu mwenye umri kuanzia miaka 36-40,awe anajishughulusha,awe mkristo,asiwe na mtoto zaid ya mmoja
Awe anajituma katika maendeleo, aliye tayari npm
Jamani nahitaji mke wa kuoa,umri wangu ni miaka 30,ni mtumishi wa Serikali.Umri wa ninaye mtaka uanzie 22 mpaka 30,angalau awe amefika kidato cha 6.sichagui dini wala kabila.alioko tayari ani PM
Habari wana Jf
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka30. Nimejitokeza kwenye uwanja huu ili kutafuta mwanamke aliye tayari kuanzisha mahusiano ya kimapenzi yatakayo tujenga kufikia hatua ya mke na...
Mim ni mvulana, umri ni 28yrs,uref 5.8, nipo mwaka wa mwisho chuo kikuu flan apa tz. Natafuta mschana wa kuwa mpnz wa maisha, awe 18-23yrs, asiwe mref wala mfup, mnene wala mwembamba, asiwe mweus...
Habari zenu wana JF?
Leo naomba nishee nanyi aina na vigezo za yule nitayekuwa nae maishani
1) Awe mpole na mtulivu: Namaanisha asiwe mtu muongeaji saana kwana hata mm nipo very polite...
Nahitaji kua na rafiki wa kike anayesoma kuanzia.
1. A- level haswa awe Form 6 (six) au Diploma na. kuendelea hadi chuo kikuu.
2. Katika Fani ya. Civil Engineering, petroleum and gas...
Wakuu,
Natafuta Mchumba mwenye umri wamiaka 18 – 24, elimu angalau kidato cha 4 na asiwe mnene wala mwembamba sana.Mimi ni kijana wa miaka 27, nina elimu ya Chuo na nampenda sana Mungu...
Kwa ujumbe huu nawajulisha kuwa kama kuna msichana ambaye yupo tayari kuolewa tafadhali ani PM na aweke contact zake for further conversation am so sirious sio matani mke/mume hupatikana popote...
Wandugu,
Naishi Boma N'gombe - Moshi na nahitaji marafiki wa kike tajwa hapo juu kutoka sehemu yoyote TANZANIA
Sifa;
Awe anapenda kuchat (ila sio addicted)
Hata akiwa na mtoto sio shida
Awe...
Waungwana naomba kuuliza,
Hivi kutafuta mpenzi mitandaoni, ndiyo imekuwaa fasheni au ni kushindwa kuongea na yule umpendaye face to face { domo zege }?
Hai natafuta rafiki wa kike nichati nae mimi nipo Morogoro nae awe wa Morogoro awe mkristo elimu form4 na kuendelea umri miaka 20 hadi 23. Ani PM alipo tayari tuwasiliane.
Wana Jf naomba ridhaa yenu na utayar wenu katika hili. Nahitaj na kutafita binti mlokole ambae yuko makini na tayar kwa kua katika mahusiano ya malengo. Pia asiwe muongo. Aliyekua tayar tafadhali...
Habari za majukumu wadau,
Nimeachana na mchumba wangu 1 month ago nimekuwa mtu wa mawazo (stress) sana. Nahitaji smart single lady wa kuchat nae atleast kunipotezea haya mawazo. Elimu yangu ni ya...
Ni mwanaume nina 26 yrs. Ninakazi yangu na maisha ya maana kabisa. Nina elimu ya juu sana nipo Morogoro nahitaji mchumba wa kuoa. Tabia haijalishi nitairekebisha mwenyewe nipo vizuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.