Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Baada ya kuzunguka huku na kule nilifanikiwa kupata msichana kupitia forum hii ya love connect ofcoz ni msichana mzuri sana na yupo serious na mahusiano tatizo ni kwamba nahisi kama namuonea...
1 Reactions
64 Replies
6K Views
Husika na kichwa ha habari hapo juu, Nina umri wa miaka 24, naitaji mwanamke atakae nizalia mtoto tu, uwe mrefu mfupi mweupe mweusi mbaya mzuri umri uwe umekwenda au haujaenda hayo ni ya kwako...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Nina miaka 26 naishi morogoro(ulanga) nahtaj mwanamke umri miaka 25-20 awe na upendo tu kwa watu wote aliyetayari ani PM au awasiliane 0654572467
0 Reactions
0 Replies
831 Views
mimi ni man wa umri wa kati ya miaka 28 na32 natafta mwanamke ambae anataka kupoza maumivu asizidi miaka thelathini mwenye hitaji hilo anipm.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MKISIKIa KUNA DADA MWENYE HEKIMA NA ADABU, ANATAFUTA NDOA, MWAMBIENI ANITUNIE UJUMBE FASTA. MIYE NI MFANYABIASHARA WA MAYAI YA NJIWA, MAENEO YA BUNJU! NIMEMALIZA!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kuna mwanamke mwenye uhitaji wa mwanaume ili awe mume wake wa maisha yake, aje Pm tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Natafuta Rafiki Wa Kike Mwenye Mategemeo Ya Kuoana Baadae.Sina Ubaguz Wa Aina Yoyote.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi, Wadau looking for a serious talkative and Charming girl of this age 18-26 reside in Dar for Partnering and Network purpose! PM your contacts and expect soon reply Thanks in advanceI will...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Mimi binafsi nimeshaoa hila nishawawekea tangazo jamaa zangu 2 na mmoja anaoa mwezi 12 kila kitu kimeshakilika sasa kuna rafiki yangu mwengine naye anahitaji msichana wa kuoa hila yeye anahitaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Sihitaji mme jamani, nilikuwa nafanya utafiti na sasa umekamilika, Asante kwa wote mlokuja PM.
0 Reactions
74 Replies
13K Views
Natafuta rafiki wa kike aliyepo Dar, Moro au Pwani uwe mkristo tena mcha Mungu, uwe unajielewa vyema. Umri usiozidi 27yrs old. Elimu at least for four, ila sipendelei wafupi lengo la langu ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naitwa kelvin nina miaka 25 naishi dar, natafuta mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano na baadae ndoa sichagui dini,rangi wala kabila uwe tu mpenda maendeleo na mtafutaji na mwenye kujua thaman ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Natafuta mpenzi. Umri kuanzia miaka 28 hadi 40. Asiwe mshabiki au mkereketwa wa CCM. Awe serious. Niko Moshi, Kilimanjaro kwa aliye tayari tuwasiliane PM.
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari zenu marafiki, Ni mara yangu ya kwanza kujitokeza hapa nia na madhumuni ni kutafuta marafiki kwa ajili ya kubadilishana nao mawazo ya kimaisha. mimi naishi singida ni mfanya kazi kwenye...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Hi ladies; Sifa zangu: Ni msomi, mfanyakazi,Mkatoliki,mchaga,umri 30yrs na niko Dsm. Mwanamke ninayemtaka angalau akidhi vigezo vifuatavyo; Awe mkatoliki anayependa kusali na mwenye hofu ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamvi! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mwanamke wa miaka 26 sasa...natafuta mwenye sofa zifuatazo. .Mcha Mungu, yaani mwenye hofu ya Mungu, awe mkristo tu.( esp...
4 Reactions
81 Replies
7K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 ni mwalimu natafuta mpenzi ambaye baadae atakuwa mke wangu awe mrembo mrefu mchapakazi.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nipo Songea nahitaji mrembo yeyote aliye tayari kuwa na mimi na poa zaidi kama nitampata wa Songea!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Back
Top Bottom