Jaman na mm natafuta mchumba vgezo awe kat ya miaka 22 hadi 24 asiwe mnene sana wala mwembamba SNA yaan saiz ya kat tuu asiwe mweupe sana wala asiwe mweuc sana ila kumbuka npo silias kwa hyo...
Watoto wadogo wanakela sana na wasumbufu nimechoshwa na mapenzi yao,mimi kijana umri miaka 26 ni mrefu ,natafuta mpenzi umri kat i ya miaka 28 mpka 40 tuwe wapenzi tuu no ndoa manake sijawaza hlo...
Wakristo Bwana Yesu asifiwe, na Waislam asalaamaleykhum,
Kama nitakuwa nimekosea salamu hizo basi niombe radhi ila natumai nyote kwa ujumla muwazima.
Lengo langu ni kilio changu cha muda mrefu...
Hi to all wana JF, heshima kwenu wanajamvi, i have been single for quite long time now and i came to realize that now its the right time for me to find someone who will be my future father of my...
Natafuta rafiki wa kike ambaye tutashilikiana na na kusaidiana mambo mbalimbali, mrembo huyu ni vizuri asiwe mke wa tu lakini awe na mpenzi mmoja yani mimi niwe wa pili, alafu ni vizuri...
Eeeh Mungu! wenye nia njema na wanione ili wanistiri na mimi!!!!
Napenda kwanza kutoa salaam kwenu nyote.
Jamani nimekuja hapa mbele yenu kwa lengo la kutafuta mwenza ili tustiriane. Najua huwa...
Jaman ni muda sasa niko mbali na home na sitaki mzungu mimi! Pls naomba msichani aliye ndani ya Schengen countries hasa hasa sweden, Norway au Denmark na ufaransa tutafutane angalau tupeane mawazo...
naitwa joh
Umri 20
Mkristo
Kabila ni mnyaturu
Naishi dar tabatasegerea
Friend of lowasa/ukawa
Mcheshi
Mkweli
Msafi
Nina akili ya maisha
Najua kuthamini
Nahitaji kupendwa na binti awe na umri...
SIFA ZA MTAFUTA MCHUMBA
>Mweusi
>Mnene wastani
>Urefu ni 158cm
>Mkristo
>Mtumishi wa serikali
>Naishi morogoro
>Umri 30
SIFA ZA MCHUMBA ANAYETAFUTWA
>Mweupe wa asili au maji ya kunde
>Umbo la...
natafuta rafiki wa kike, asizidi miaka 27 asipungue miaka 23, awe mkristo mwenye hofu ya Mungu ndani yake, itapendeza kama atakuwa mikoa ya DSM, pwani au Moro, awe na mtizamo chanya wa kimaisha...
1/ Awe na elimu angalau Advance level
2/ Umri usiozidi 25
3/ Awe white mwenye mvuto na anayejikubali
4/ /Awe na umbo la kawaida asiwe mnene wala mwembamba
6/ Awe na nidhamu na heshima kwa kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.