Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Natafuta mchumba wa kumuoa,narudia tena natafuta mchumba wa kumuoa kama tukikubaliana,umri usiozidi miaka 22,asiwe mnene na mwembamba sana,kama haupo serious usijaribu kuni Pm,mimi ni mtumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi Jf, i am Tanzanian Man Aged 32, a degree holder looking for a woman who will marry me next year. So the one who will meet my favourable demand, aged 20-28, atleast bachelor degree, who don't av...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kabila:lolote umri:18-26 kazi:yoyote ya halali asiwe mfupi sana rangi:yoyote) mawasiliano:ni pm ahsante
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Helow wakuu, Mimi ni mwanaume ninaejitegemea natafuta mwanamke kwa ajili ya kufarijiana tu yaan ambaye nikimuhitaji wakati wowote isipokua wa kazini awe tayari awe ana uwezo wa kujitegemea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Wakuu,mimi Mwanaume Natafuta Mke Wakuoa Mwenye Sifa Bora,asie Kua Na Mtoto,mweupe,elimu Dgree Ya Pili,mwenye Hofu Ya Mungu Kisawasawa,awe Mwajiriwa Au Kujiajiri Umri Miaka28-34,anaejua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ndo ilivyo; * Mimi ni kijana wa miaka kati ya 30 na 25 ; ni mwenyeji wa kanda ya kaskazini * Pia ni mwajiriwa katika taasisi flani * Nina diploma ya ualimu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mwalimu shule ya msingi umri wangu ni miaka 26 na nafanya kazi wilaya ya Ulanga (MOROGORO) nahitaji mchumba awe na umri:20-23,awe mkristo,awe na mwili wa wastani,awe anajishughulisha si...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naombeni kwa mwanamke mwenye vigezo vifuatavyo na aliyetayari kuwa kwenye mahusiano anitafute, mnene, mpole, mkweli, muwazi. Kama yupo anitumie Email kupitia imani.mangowi@gmail.com
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Hey guys, I would love to have a female chatmate, Iam a 25 year old male, Tanzanian living in Beijing Contacts +8618640590870 Thanks
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Umri wangu 28 mkristo, mwajiriwa serkaln, natafuta mume alie nawatoto pia tujenge familia, hata asiye na uwezo wakupata watoto. Wanangu nina uwezo wakuwahudumia usihofu, ila upweke ndo...
1 Reactions
35 Replies
7K Views
Mimi Ni Mwanaume Naish Dar Natafuta Mwanamke Wa kumuoa.Awe Tayari Kunitafutia Kazi Kwn Na Stashada,kunilipia Ada Npo Chuo Kikuu Mwaka Wa Pili,sina Ubaguz Wa Kabila,rangi,dini,elimu.Kwa Maelezo...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
20 to 24 yrs prefferably a university graduate
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Love is a beautiful thing as much as it hurts but its worth it when you have the right person to share with and I'm talking about everything that comes with it the whole package the laughter, the...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini! Natafuta marafiki wa jinsia zote! Walio komaa kibiashara na ujasiria mali Wawe na wasifa angalau huu hapa; i> Aliepitia changamoto za kupanda na kushuka kibiashara ii> Ambae...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
Habarini wapendwa. Natumaini nyote mu wazima wa afya na mnaendelea vyema na majukumu ya kila uchwao. Lengo la kuja kwenu humu ni kama heading inavyojieleza hapo juu. Kifupi mimi ni kijana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nahitaji mke tushiriki kustragle pamoja,yani tuanze ote,mwanzo mgumu ila mambo yatajipa tukikomaa, nina 29 yrs, nahitaji mke mwenye sifa zifuatazo,mweye upendo,awe mkristu ingawa pia na asie...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wakiume natafuta mchumba!!!
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Salaam wakuu. Natafuta rafiki wa kike umri kuanzia miaka 26 na kuendelea. Ntafurai kama ntampata mwaminifu. Popote ulipo unakaribishwa PM.
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Niko tayari kumuoa mwanamke atakaeniwezesha nipate kazi. Nina degree ya uhasibu with upper second. Age 28, am serious, interested welcome inbox
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi ! kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nahitaji sana mwanamke mwenye maumbile makubwa, awe mnene kiasi, maziwa makubwa, matako makubwa. Mimi nipo Dar na kwa mawasiliano zaidi ni...
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Back
Top Bottom