Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji...
0 Reactions
62 Replies
9K Views
Natumaini ni wazima wa afya, Natafuta mdada ambaye yuko serious na yupo tayari kuolewa awe anatoka mkoa wa MOROGORO au MBEYA au IRINGA au NJOMBE au Jijini DAR. Sifa; 1. Umri miaka 18--25 2...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Nimetumwa na mwanamke kwamba anahitaji mchumba mwema ambae atakua mme wake baadae awe mcha Mungu na awe na upendo wa kweli. Ambae yuko tayari amtafute kwenye 0715333218
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mmmmh
0 Reactions
5 Replies
1K Views
ungempata lakini tatizo ni hiyo kazi yako
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mi natafuta mke wa 4 humu Jf awe mn'gavu mnene wa wastani mwenye umri usiozidi 30 awe Muislamu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Del
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mimi ni kijana wa miaka 29, urefu wangu ni wa kati, si mnene si mwembamba; niko kati, rangi ya ngozi yangu ni mweusi kiasi na ki ujumla niko kawaida sana na ninajiamini kwa nichokifanya, nina...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Umri wangu ni miaka 32, natafuta mke wa kuoa mwenye umri kati ya miaka 21 hadi 25 awe mcha Mungu, awe na adabu njema pia awe mtulivu. Nina uhitaji kweli kweli. Kwa yule atakayekuwa tayari...
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Natafuta mke aliyeko morogoro na awe mkristo na mweupe wa kuishi naye. kama uko serious mengi tutayazungumza private.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mtu wa umri wa kati ninayetafuta mchumba/mke anayejitambua kama unajitambua ni pm tufahamiane uwe mke wangu.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi nafanyakazi yakujiajiri, nipo Dar nahitaji mchumba wakuoa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi!!! Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka30 natafuta mchumba. Vigezo na masharti sina.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naamini mchumba anapatikana popote pale iwe sokoni, kanisani, kwenye social network n.k Mimi ni kijana mtanzania, ni mkristo, nina elimu ya shahada n pia ni muajiriwa... natafuta rafiki wa...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
ni pm Please... nipo MBEYA
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Boys and girls
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wanajamii, Natafuta marafk wa kike wanaopenda kuchat, kupeana kampani na kwenda out. Professionally nimesomea Information Technology, nimehitimu mwaka 2011. I am 28 years. Even older women...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari, Kama wewe ni mdada mpweke naomba kampani yako, mimi nipo alone muda wotw ni mpweke saana nahitaji kampani yako please sichagui umri wala chochode! Mimi nina miaka 28. Please in box...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za kwenu wana jamii wenzangu. Jamani nipo serious sana katika hili naomba kwa wew mdada uchukulie uzito unaposa uzi huu mizaha/utani weka pembeni. Naomba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu, Natumai ni wazima wa afya njema,mimi ni kijana nina umri wa kati ya miaka 30 hadi 37,nahitaji mke,kama una umri kuanzia huo hapo usisite kunitafuta au hata kama una zaidi ya hapo...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom