Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
mwanaume mwenye mapenz ya dhati anahtajika for long term relationship ila asiwe mwalimu au mwanafunzi this iz serious so kwa maelezo ani Pm tuzingumze wa mkoa wa mbeya iringa na moro watapewa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
unajua kiswahili!??
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Hello JF, Am 20+ yrs old, 171.2cm tall weighs 68Kg. Am looking for a serious girlfriend aged between 18 and 21... You can PM me if your serious... Just Be Real
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Habari ndugu wa Love connect, Mimi ni kijana wa kiume na niko katika safu hii lengo likiwa ni kutafuta rafiki wa kike ambae atakua mchumba. Awe na sifa hiizi -Umri usizidi 30. -Awe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
My Bro Anaenda South Africa, September 30. Anatafuta Demu wa kuhook up huko South. Bro atafikia Protea Hotel,Kimberley. Aliyeko serious PM NO CRITERIA
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Niite Silent Soldier Humu JF, natafuta marafiki wa kike na wakiume. Nipo dar ingawa nyumbani Dodoma. Nimeishi mikoa kadhaa; Tanga, Bukoba, Morogoro, Arusha, Tabora, nk Nimemaliza kidato cha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Niite Silent Soldier Humu JF, natafuta marafiki wa kike na wakiume. Nipo dar ingawa nyumbani Dodoma. Nimeishi mikoa kadhaa; Tanga, Bukoba, Morogoro, Arusha, Tabora, nk Nimemaliza kidato cha...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Natafuta mpenzi. Umri kuanzia miaka 28 hadi 50. Asiwe mshabiki au mkereketwa wa CCM. Niko Moshi kilimanjaro kwa aliye tayari tuwasiliane PM.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nipo Dar natafuta msichana Mwenye umri kuanzia 18-23.Kwa ajili ya kuanzisha uchumba hadi kuoana.
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Am looking a good garl/pretty one for charting and Shea's ideas am available Cont 0752763717 am wark national housing like customer car
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Habari, Natafuta mwanamke wa kuoa mwakani,elimu yangu ni shahada ya biashara (uhasibu),naishi Dar umri wangu ni miaka 31.nimtakae awe na miaka 25-33,awe mweupe,asiwe na mtoto,elim shahada,mwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shikamooni wadau, Mi kijana wenu nahitaji mwanamke ambaye atakua mjasiriamali,mchakarikaji kama mimi na awe mzuri na mcheshi na asizidi 30, mimi ni mwanafunzi wa Chuo pia Mjasiriamali mdogo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello everyone. Few months ago nilijitokeza hapa nikitafuta mchumba mwenye sifa nilizozitaja hapo lakn walijitokeza watu ambao waliniletea utani mwingi na hatimaye nilikata tamaa lakin kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo dar natafuta marafiki
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Labda nianze kwa kusema yamenifika hapaa! Mimi ni graduate wa moja ya business related courses katika moja ya vyuo hapa nchini.Nimewahi kuwa na girlfriend wakati wangu wa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Hamjambo na karibu tena katika Jukwaa hili Huru kuhusu Masuala ya Mahusiano. Natafuta mpenzi tutaeishi nae kwa mkataba. (1)Mkataba usiozidi kipindi cha miezi kumi na mbili au chini ya hapo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nikiwa na akili timamu na bila kushawishiwa na mtu mwingine,niameamua kwa nia moja kutoa ombi langu hapa,kwa madhumu ya kutafuta MKE WA MAISHA,ninatafuta MWANAMKE ambaye mwenye shida tu ya kuitaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilitendwa sana nikawachukia wanawake nikaapa sitaoa tena. Lakini kutokana na mastress ya maisha, kazi na ushauri wa ndugu, jamaa na marafiki nimeona nimtafute wa kumuoa kwa kuanzia hapa jamii...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamvi, Mimi ni mdada wa miaka 27 ,mkristo,nipo Arusha,elimu yangu ni kidato cha nne,nimeajiriwa serikalini. Natafuta mume kuanzia miaka 30-36,mkristo,awe na kazi au biashara ya...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Back
Top Bottom