Mimi ni kijana wa miaka 25.Nilikuwa kimasomo nje ya nchi kwa muda mrefu,sasa nimerudi nikiendelea na kazi na biashara hapa Dar.Nimejaribu kuingia kwenye mahusiano na wasichana kadhaa lakini wengi...
Natafuta mke mwenye maumbukizi ya UKIMWI awe mtu mzima angalau awe na umri kuanzia miaka 40 na kuendelea mimi pia mtu mzima!mawasiliano ni sekenemboh@gmail.com au PM
Habari natumai ni wazima natafuta rafiki wakubadilishana mawazo, ningependelea kuongelea vitu vya maendeleo. Aliye tyr Ani pm,jinsia yngu ni mwanamke, kwa walioko dar itakua vzr, jion njema
Nimekutwa na HIV mwezi wa 11, 2014. Yawezekana nimepata maambukizi katika kipindi kinachoanzia mwezi wa 8, 2014. Nimeogopa na kujitahidi kulinda afya yangu siku zote lakini imeshakuwa hivi...
Habari wana Jf,
Najitokeza kwa mara yakwanza kusaka mke wakuoa kupitia jf kwani mke anapatikana popote alipo panga mungu.Mimi Ni mwanaume mwenye umri wa miaka 28 ni mfanya biashara natafuta mke...
Hi all, I am a single gentleman, energetic, hard worker, Intrepreneur with vision and mission aged 28 years. Hereby looking for a single lawyer ready for a truth and future oriented relationship...
Habari za hapa?
Mimi ni Mwanaume mwenye umri kati ya miaka 45 na 50,nikiwa nina imani thabiti najitokeza hapa KUTAFUTA MWANAMKE MWENYE MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI,Kwa mwanamke aliyeguswa...
Jaribu kunitafuta plz mana nashindwa kusoma ajili yako tafadhali.
If there one called ilham here find me plz coz niliapa ntampenda mwenye kuitwa jina hlo mana ilham wangu cjui katolokea wap jamani?
Mimi ni Samson, Namtafuta mdada yeyote anaeitwa Delila..
Tangu naanza kusikia habari za samsoni na delila sijawahi fanikiwa kumwona mdada anaeitwa ivo, kwaiyo namtafuta huyo mdada kama vipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.