Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa, awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo.
Umri wake usizidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana.
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani.
Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina...
Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
Dear ladies
If you have a good man, hold on to him.
And when I say a good man, I don’t mean a man who is perfect. But a man
who tries. He’s hardworking, will go above and beyond to make you...
Wana bodi salaam,
Kama title inavyojieleza hapo juu,nahitaji Mama over35 yrs kimahusiono,nimechoka kudate na viunder 20,Mimi kijana over25yrs najiweza kidogo kiuchumi,Alie serious pm me
Kutoka kwa mdau!!
" Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri
,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao
Kwa nyakat tofauti tofauti...na...
Habari wadau,
Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu.
Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana...
Wanajamvi bila kuwapotezea muda, nina miaka 38 sijawahi kufunga ndoa, najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mke wa kuoa, sifa za mke ni mtakaye;
1. Awe anakaa Dar
2. Awe na rangi, ila siyo...
Mwanamke mwenye nia na hitaji la kuolewa aliye na umri kati ya miaka 38 - 48 anahitajika.
Awe na kazi inayomuingizia kipato na mwenye elimu ya kuanzia Diploma na kuendelea.
Nina kazi, elimu...
Sifa Zangu
Mm n wakiume [emoji1]
Mkristo
Nimejiajiri- (IT)
Sifa za Mchumba ×2
Awe wa Kike
Umri From 19-25
Dini Yeyote
Aishi Dar es Salaam
Vingine Tutaviongea [emoji120]
Njoo inbox Tuyajenge...
Bila kuchoshana kama tangazo linavosema hapo juu
Natafuta mpenzi wa kuchat nae na kujuliana hali hivo vingine tutapanga baadae kama penzi likinoga
Masharti:awe mwanamke basi inatosha
Mwanamke awe na umri kuanzia miaka 20 na kuendelea. Asiwe na akili ya kitoto awe ni muelewa ambaye tunaweza panga jambo akaelewa na akafuata.
Makubaliano
Nitatunza mtoto
Nitahudumia
Mtoto...
Habari.
Mimi ni kijana wa Kitanzania, umri wangu miaka 33, dini mkristo KKKT, naishi Dar es Salaam, nimejiajiri. Nahitaji mpenzi ambaye lengo letu kuu ni ndoa mwakani tukielewana.
Vigezo vya mke...
Habari zenu Jukwaa Hili
Ombi langu ni
ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami.
Sifa zangu.
Umri :35yrs
Elimu: Shahada
Kazi : Biashara, Mkulima na mfugaji
Rangi: (wanaita maji ya kunde 🥸)...
Habari wadau.
Kuna hali inanitokea inanishangaza sana, nimekua na hamu na ndoa ghafla since mwaka jana. cha kushangaza sasa sijui namuoa nani na nipo 35 yrs.
Wanaume tunatumia nguvu kubwa...
Habari wana ndugu mimi ni kijana wa miaka 32 naishi dar es salaam ,mkristo na nimejiajiri natafuta mpenzi alietayari kuwa mke, vigezo asiwe na mtoto zaidi ya mmoja awe tayari kwa ndoa mwakani.