Tafadhali rafiki ndugu najamaa wote,
Usitumie namba 0759919873 endapo huna jambo la maana na lenyekujenga.Toa hoja ya maana kwakutumia hekima na busara. Pia ileweke namba hyo si kwaajili ya...
Nahitaji binti mwenye sifa zifuatazo:
1. Mrefu but sio saana.
2. Blackbeauty, mweupe, maji ya kunde. awe na kashepu, si manyama uzembe.
3. Umri 18-24
4. Awe anajua maisha, so mtu wa kuwaza club...
Habari za humu jamani natafuta bnt miaka 18-25 mwenye mapenzi ya kweli na muaminifu atakae kua tayari kufunga ndoa hapo baadae pls 0715655508:
Nipo dar es salam
Sent from my BlackBerry 8520 using...
natafuta mchumba wa kike aliye muislam anaeishi zanzzibar umri kuanzia miaka 20-45 alieko serious na hili naomba sana uwe serious katika hili ili tuweze kuondosha ubabaifu katika jamvi kwa maelezo...
Hodi!
Nataka kupata rafiki moja ambaye angependa kuzungumza nami kwenye facebook katika kiswahili. Ningependa kujua zaidi kuhusu tofauti yetu ya jamii na siasa nk., na pia kufanya mazoezi...
for long time i have been here writing jokes and false stories but here am very serious
natafuta mwanamke matured awe mnene;maji ya kunde umri 28-32..njoo pm kama upo ready..am a boy 24 yrs
Jamani tangia nitoke tumboni kwa mama yangu mpaka leo sijawahi kufanya mapenzi na mwanmke yoyote.Eti jamani alafu sui kutongoza.
Any grly ambae yuko tayari kua na mimi nicheki whatsapp basi.
Kwa...
Awe na sifa zifuatazo;
1 .Awe mcha Mungu
2. Elimu atleast form 6/diproma na kuendelea
3. Umri miaka 21 hadi 24
4. Asiwe mwembamba sana, asiwe mnene sana awe normal
5. Rangi ya ngozi isiwe black...
jamani habari za Leo wapendwa, kama ilivo heading pale juu!
Namtafuta sana Huyu dada popote alipo naomba anitafute plzzzz plzzzz tulikutana humu kwenyejukwaa hili tukafahamiana na tukawa...
Mimi ni kijana 25yrs naishi dodoma, mrefu kiasi mweupe kiasi nywele nyeusi. Watu wengi husema mm ni mpole.Nimejitokeza katika ukurasa huu ili kutafuta rafiki mmoja tu wa kike awe mkarimu ambaye...
Mimi ni mwalimu nafanya kazi katika jiji la Mwanza natafuta mchumba ambae yuko tayari kuolewa sasa mimi ni mkristo. awe na umri kuanzia miaka 22 mpka 30. awe na kz au hana haina shida. akitoka ktk...
Mimi ni mtumishi serikalini nipo Mwanza, lonely familia yangu ipo Mbeya natafuta rafiki wa story na kubadilishana mawazo kushare lonely experience.Interested PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.