Ni kijana ninaesoma chuo kimoja hapa jijini Mbeya. Natafuta Msichana(18yrs-30yrs) wa ukweli ambae tutasukuma haya maisha ya chuo. Awe mwanafunzi au Mfanyakazi(Sio za ndani).
Mi ni mrefu.
Sio...
Natafuta na Nahitaji mwanamke mwenye kujielewa, mkweli, mwenye true love, anayejuakupenda na kuthamini kupendwa anayejua nini maana ya mahusiano naamini age ni namba tu but age yangu ni 26 old am...
Jamani kina dada/mama,mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 42,NAITAJI MKE lakini jamani sina ajira/kazi yoyote ile,yule mwanamke ambae atarizia na atakaekubaliana na hali hii tafadhali naomba...
- Nina umri wa 32
- Sijaolewa, sina mtoto
- Mkristo mkatoliki
- Nina elimu ya chuo
- Mwajiriwa Serikalini
- Nina hofu ya Mungu ndani yang.
Natafuta mwanaume ambaye na yeye anahitaji mwenza kama...
Je umetelekezwa na mume/ mchumba/ boyfriend na amekuachia mtoto ambaye hamtunzi na wala hamjali?
Nimejitoa Kuwa sadaka kwa watoto wapweke wasio na baba. Wajibu wangu utakuwa Kuwa karibu na mtoto...
Habari zenu waungwana,
Najitokeza hapa kutafuta mchumba muislam ambae Mungu akijaalia aje kuwa mke wangu,nipo serious nahitaji kuwa na mchumba kwa wakati husika,mimi ni muajiriwa Serikalini na...
Naitwa Mudy natafuta mpenzi mwenye mapenzi ya kweli ili ikiwezekana baadae aje kuwa mke wangu.
Sifa awe mnene na pia awe na kazi yoyote ile mimi nipo Dar ke.
Mawasiliano nipigie no.0652868486
Guyz,
Mimi ni ME nmetua jana mwanza but lonly hatari hata viwanja sivijui kwenye girl yoyote alie mwanza ani pm siyo kwa mahusiano ya kimapenzi lakini,only friends kwa walio mbali for charting...
Natafuta mwanamke humu kwa ajili ya mahusiano ya muda mrefu ya kimapenzi.
Awe na umri usiozidi miaka 35.
Awe ni mtanzania anayeishi Dar au awe anapenda kuishi Dar.
Awe hajaolewa wala juzaa...
Kichwa cha habari chajieleza,
Kutokana na jeuri aliyonayo mke wangu,natafuta mwanamke atakayenifariji kipndi hiki kigumu hukunikitafuta njia za kuachana na huyu mwanamke coz nimechoka sasa! Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.