Mim naomba ushaur utamjuaje mpenzi wakweli maana mim nina mpenz wangu kila Mara anasema yuko busy hata simu hapokei Mara nyingine ukimuuliza sababu anasema yuko busy
Habari wana JamiiForums!
Kwa mara ya kwanza naingia humu kumtafuta ambaye atakuwa mtu wa karibu maishani mwangu. Nina miaka 29, ni Mkristo, ninafanya kazi katika shirika binafsi na nina elimu...
Naamini mke anapatikana popote natafuta mwanamke mkristo mwenye hofu ya Mungu.Ili awe mama wa watoto wamgu mwenye kujua wajibu wake kama mama wa familia. Umri 20-27 elimu form4 na kuendelea.
Kwa...
Natafuta rafiki wa kike popote pale. Nahitaji awe mwenye hofu ya MUNGU ndani yake, napenda awe mrefu, umri 23-27. Mengine tutafahamiana, mimi ni me, umri wangu 28.
God bless you
Nina miaka 26 ,elimu yangu degree,nimeajiliwa selikalini,naishi mbeya.
Natafuta mchumba au mke wa kuoa .
Vigezo awe na elimu kidato cha nne na kuendelea,mweupe,sura nzuri,asiwe mnene pia awe na...
Mimi ni binti wa miaka 22 natamani niwe na mchumba kutoka humu.Mie bado mwanafunzi ila wachuo Sifa zangu: Rangi yangu maji ya kunde nina macho ya kusinzia, nina lips nzuri, ninamguu mzuri, chuchu...
Mimi ni KE, nina miaka 27, natafuta rafiki wa kiume kuanzia miaka 33-40, awe anajitambua, mkristo na awe na shughuli inayoeleweka na halali, elimu yake iwe kuanzia Diploma hadi PHD, mwenye nia...
Nimeshakuwa katika mausiano na wasichana tofauti, mara ya mwisho nilikuwa na mahusiano na dada wa kijerumani,huyu kwa mara ya kwanza tulifikia mpka kutambulisha kwa wazazi.Siku kadhaa zilizopita...
Mimi ni binti wa miaka32 Nina mtoto1 wa miaka5 nimeokoka nampenda yesu umefika wakati nahitaji mwenzi wangu wa maisha awe na umri34-42 awe mwenye mapenz ya kweli atakaenipenda km nilivyo mtafutaji...
Mimi ni mwanamke umri miaka32 Nina mtoto 1 wa miaka 5 nimeokoka nampenda yesu ila umefika wakati nahitaji mwenzi mwenye mapenzi ya kweli nitakaefunga nae ndoa na awe ni mtafutaji kama mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.