Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni kijana wa umri wa kati nafanya biashara nimejiajiri,nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wangu kigezo kikubwa ni kujitambua.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari, Kwa jina naitwa Carlson mwenye umri wa miaka 28, natafuta rafiki wa kike ambae tutakua na ndoto za kuoana baada ya kufahamiana. Mimi nipo chuo mwaka wa pili umri wake awe na miaka 25-28...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari zenu wakuu hope mmeshinda poa kwanza kabisa ningependa tumshukuru mungu kwa kutulinda na kutupa pumzi yake mpaka hivi sasa (wote tuseme amin) mimi ni kijana mwenye umri wa miaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
.,.,.,,,..,,.,,.,.,..,.,.,,,. Expired
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Awe nimtumishi serikalini mimi ni mtumishi pia na nina mtoto 1
0 Reactions
2 Replies
775 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninaishi Dar. Nina elimu ya chuo kikuu. Natafuta mpenzi wa kike. Sichagui kabila, dini wala rangi. Aliye interested anipm
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana nasafiri kuja Dar Jumatano na ninatafuta dada wa Dar atakayenionyesha hilo jiji kwa sababu nitakuwepo pale kwa wiki mbili kikazi na ningependa kujua sehemu kadhaa kama vile beach...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani natafuta marafiki wa kike wa kuchat nao tu, nothing else alie tayari. Anchek whatsapp au kawaida 0655415200
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nahitaji marafiki wa kweli jinsia yoyote wa kushare idea na kubadilishana mawazo umri wowote tu 25 Kushuka chini nicheki kwenye pm sms
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wadau, Mimi ni kijana wa kiume umri miaka kati ya 25-26.Ninatafuta mchumba mwenye tabia njema na upendo wa dhati, awe na umri kati miaka 24-22.Sibagui dini wala kabilaa kwa alie tayari...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nimempata jaman so pm sitak tena.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari zenu, Mimi ni jinsia ya kike natafuta mchumba umri kuanzia 40yrs na kuendelea awe mwaminifu na mwelewa, mengi zaidi tutaongea ani PM kwa maelezo zaidi asiwe mume wa mtu, Asante
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa umri wa kati ambaye kwa sasa nimeamua kutafuta rafiki wa kike wa kudumu ambaye kama tutaelewana atakuwa mke wa maisha yangu yote. Nitafurahi kupata rafiki anayeishi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana umri wangu ni miaka 30, elimu yangu ni shahada ya uzamili katika elimu, ninaishi mkoani Mtwara. Nahitaji mchumba mwenye sifa hizi: 1. Kabila lalote lile lakn kwa sasa awe mkazi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Awe na elimu ya formfour awe mwenye mapenzi ya dhati, kuanzia miaka 18 mpaka23
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana Jf, Nahitaji mwanamke aliye tayari kwa ndoa. Dini na kabila sibagui. Mimi ni muislam.Umri wangu 38. Nina elimu ya shahada moja. Nakaribisha wenye umri usiovuka 33. Maswali yote yatajibiwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Awe wa dini na kabila lolote.Mimi muislam.Umri wangu 38.Mtumishi serikalini. Elimu yangu ya shahada moja. Umri wake usivuke 33. Maswali yatajibiwa PM Karibuni
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Mwanamke mfanyabiashara ndiye anahitajika kwangu,na kama upo seriously kama haupo serious hiyo namba iache usichukue. Umri 18-22 NB: Nahitaji mpenzi lakini awe mfanyabiashara 0715152700
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mimi ni jinsia ya me, umri wangu ni mid. 30's, I am well matured, najitambua, nasali kanisa la roman,muajiriwa, darasani pia nimehudhuria kiasi. Sio mnene sio mwembamba, am looking simple...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu, Natafuta mchumba wa kuoa, awe muislam mwenye iman kwa mola wake, awe na Miaka kuanzia 20-30. Kwa mawasiliano please first E-mail me throught harmarazar759@gmail.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom