Habari Zenu Mabibi Na Mabwana..
Kwajina Naitwa Michael Bt Weng Wamezoea KuNiita Drizzy/mickey Pia Nina Umri Wa Miaka 23
Nimeishi Kwa Upweke Kwa Takribani Mwaka Sasa Na Hii Ilitokana Na...
I'm a young man,and currently working with the biggest and famous Bank here in Tanzania.
Lately, I've been thinking about the type of woman that I want to end up with one day and I think I pretty...
Assalym alykum,
Natafuta rafiki wa kike ambaye atakuwa mke wangu baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Awe Muislam, aliyeifaham Quran na mpenda dini, awe tayari kuja kuishi Dar es...
Katika maisha tunaishi wote kama ndugu,haijalishi mmetoka ukoo mmoja,familia au hata taifa moja,lakini wote tunapokutana mahali tunajikuta tukiwa kama ndugu wamoja.
Nimeishi pekee kwa muda sasa...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 nahitaji mwanamke muelewa, anayejitambua na kujiheshimu umri ni miaka 20-26 kuweni serious jamani sitanii.
Kwa maelezo zaidi nitext joescotner@gmail.com...
Mimi naitwa Edwin, Nina miaka 26.
Kabila langu ni Muhaya Msabato mrefu mwembamba brown.
Sijaajiliwa ila nina elimu ya mechanical.
Namtafuta binti mwembamba, rangi yeyote mcha Mungu, Mkristu na...
Habarini wana Jf,
Nachukua nafas hii kuwa shukran kwa wale walio nitafuta baada ya kuandika kwamba nahitaji mwanamke wa kubadilishana mawazo, nawapa pongezi kwao japo kwa mbali hawakuweza kujua...
Heshima zenu wana jukwaa,
Naomba kueleza ukweli wa mambo ulivyotokea kwa mara ya kwanza. Nilikuwa natafuta mke, wakatokea wawili walionipm.Tukianza na wa kwanza, huyu tulikutana, baada ya miezi...
Nahitaji rafiki wa kike nitakae anza nae mauhusiano ya kujenga family, mimi ni mtumishi Serikalini na sina mtoto.
Umri 18-23 kwa aliye tayari ani Pm Au 0715152700 tupeana more info...
Habarini, wapendwa,
Kichwa cha habari chahusika. Kwa jina naitwa Nathan, nipo Dodoma nina 23 years, rangi maji ya kunde, mrefu kiasi. Nahitaji girlfriend, awe mrefu wa wastani, dini sichagui...
We can count the dough or kick a flow
or chill out watchin videos
or actin really silly yo, but really doe
all that can end...
Whether at the bar with superstars
or cruisin in the trooper car
I...
nimeachishwa kazi ghafla na sijalipwa chochote.
pesa yangu ya akiba niliyoihifadhi katika simu imeibiwa na sasa nimeishtaki kampuni hiyo ya simu.
nimerudi jana kutoka kazini nimekuta nyumba...
Kutokana na kuwa wanawake ni wengi mno kuliko wanaume na wanawake wengi hawajabahatika kuolewa japo hata mara moja tangu wazaliwe na wanahitaji kuolewa ila wakuwaoa hakuna na huenda wakaondoka...
Wasifu wangu;
Mimi ni kijana wa miaka 25 Dini mkristo mwenyeji wa kaskazini mrefu maji ya kunde
Kazi mfanya biashara
2: Wasifu wa mlengwa
Awe na umri kuanzia 18 mpaka 24...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.