Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
I am 3 months old in Mwanza. I am 26 years old working in Mwanza and i would like to meet a lady friend of any tribe, age and build. Am finding it quite lonely going to work and going back to the...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Ehhh ndio maana hamna namna, natafuta kampani. Eeehhh ndio rafiki yangu kipenzi amefariki, RIP Jackson. Na tukifunga chuo ntakua home tu kwakweli najua nna research ila ntahitaji marafiki. Ndio...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Naitaji msichana mrembo ambaye yupo tayari kwenda kisiwa Ndui Zanzibar kama kampani yaani tour guide nitalipia kila kitu juu yangu. Nitakaa wiki moja then nitarudi na kwenda. Ngorongoro na Manyara...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 ni mwalimu nahitaji mke wa kumuoa ambaye ni mwalimu. Namba yangu ya whatsap 075282215
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naitwa Jeffah nipo Kibaha natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo kuanzia miaka 18-24. Namba yangu ni 0752832215
0 Reactions
23 Replies
22K Views
Habari wana Jf, Mim ni mgeni humu lakini naamini maisha hutafutwa popote na mke hutafutwa popote ilimradi kila mtu amkubali mwenzake na kumheshimu na kumthamini katika hali yeyote ya kimaisha...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi ni mvulana nina umri wa 22 nahitaji mchumba awe modo na ajiheshimu kama mimi awe na miaki18 - 22. Namba yangu 0752832215 whtsap ipo pia
0 Reactions
2 Replies
952 Views
Natafuta marafiki wa kuchat. Jinsia zote 0717420081
0 Reactions
0 Replies
734 Views
Samahani ndugu zangu kama nina wakwaza, Bado sijapata mchumba ambaye nataka awe mme, umri miaka 25 hadi 35, please niko serious msiseme natania, dini awe mkristo halisi aliye tayari kufunga ndoa.
0 Reactions
29 Replies
5K Views
Naitaji marafiki wengii wakuchati na kubadilisha mawazoo in our network. Thanks
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nahisi kichwa sio kigumu kueleweka, awe binti au kijana nahisi atafaa sana. You're coldly welcome
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Mimi ni kijana Umri wa miaka 26 niko Mbeya, natafuta rafiki wa kike wa kuchati nae,aliye tayari anitumie Pm.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Potezea uongo mwingi.
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Naitwa Yasha Moka, nahitaji msichana mwenye heshima na anipendae, niko mkoa wa Kigoma pia mimi nimuigizaji. My no0758036032
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Hi, Iam a man aged 30 yrs looking for a woman who will marry me aging 25-31 yrs,white in colour and natural not artificial. Her education at least a Diploma-Masters, emotionally woman you are...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nimepata, nashukru jf
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wana JF, Si mgeni sana hapa, nimesoma post na third nyingi pamoja na kejeli nyingi na kukatishwa tamaa wenye kutafuta wenzi lakini mi sijasita kutafuta bahati yangu. Ninahitaji la mwanamke wa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahisi kichwa sio kigumu kueleweka, awe binti au kijana nahisi atafaa sana you're coldly welcome.
0 Reactions
0 Replies
845 Views
Mwanamke yeyote ambaye hana uwezo wa kupata mtoto yaani tasa umri miaka 30 mpaka 39, tuwasiliane awe na umbile kubwa na la kupendeza e-maill Ahmed_samwel@yahoo.com
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hi Jamiiforum, Mimi ni kijana na nafanya kazi international company moja hapa mjini Dar es salaam. Natafuta msichana anayejitambua wakubadilishana naye mawazo kama charting na jinsi ya...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Back
Top Bottom